Laptops za SAMSUNG mpyaa kabisa zinauzwa kwa bei ya kutupwa

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
320 gb hard disc
2.5 ghz processor
2 gb ram. Bei ni 520,000/- zipo kibao, ni mzigo kutoka dubai unapitia zanzibar ndomana bei yake ipo chini. Kama upo interested ni PM
 
320 gb hard disc
2.5 ghz processor
2 gb ram. Bei ni 520,000/- zipo kibao, ni mzigo kutoka dubai unapitia zanzibar ndomana bei yake ipo chini. Kama upo interested ni PM

..Naomba dimension ya screen pls (inches ngapi?)
 
Za bei hii nying kweli k koo ingekuwa kilo 4 hivi ningedaka moja sasa hv.
 
Weka mawasiliano mkuu tufanye biashara!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
320 gb hard disc
2.5 ghz processor
2 gb ram. Bei ni 520,000/- zipo kibao, ni mzigo kutoka dubai unapitia zanzibar ndomana bei yake ipo chini. Kama upo interested ni PM
Kaka nahitaji mashine2 lakini maelezo yako hayajajitosheleza kabisaa hizo laptop ni kubwa au min halafu ni used au mpyaa na pia mawasiliano yako ni muhimu! Hebu funguka basiiturahisishe kazi
 
Wenye nazo wamemdaka wakachukua zote nn?..... mana alibandika tangazo trh 04 oct, leo trh 09 bado zipo??
 
Back
Top Bottom