Nauza used laptop

Mzee bei sijuu,nibei yakaida -sio sawa nazile zinazoibiwa mitaani maana hata laki 2 wanauza.Hizi zinapatikana kihalali na bei nipoa.
Laki6 ndio kiwango chalaptop.
 
Mzee bei sijuu,nibei yakaida -sio sawa nazile zinazoibiwa mitaani maana hata laki 2 wanauza.Hizi zinapatikana kihalali na bei nipoa. Laki6 ndio kiwango chalaptop.

Mkuu wasiliana na Shy atakusaidia...
 
Mzee bei sijuu,nibei yakaida -sio sawa nazile zinazoibiwa mitaani maana hata laki 2 wanauza.Hizi zinapatikana kihalali na bei nipoa.
Laki6 ndio kiwango chalaptop.

Punguza jaziba, biashara maelewano. Potential customer anaona bei juu, mshawishi basi, kadri ya viwango vyake yeye anaona bei juu.
 
Kama kawaida Wanajamii,nimependelea kuwajulisha kuwa kama kuna anaehitaji used laptop tuwasiliane kwa namba hii 0754-710288,thanx.
 
Ukituwekea na picha na details zake sio mbaya mkuu watu tunahitaji saaana.
 
Washikaji si nimewapa namba yasimu 0754-710288 nina aina mbalimbali sasa bei nihapo utakaponipigia.Unaweza pia kunipata kwa e-mail abcally@gmail.com.

Mkuu hizo laptop zako ni za wizi? tupatie sifa zake hapa na bei biashara ya kutumia pesa zetu kukupia simu halafu tukute mzigo wenyewe sio mzuri italeta usumbufu kidogo...ukiweka sifa zake hapa itakuwa vizuri maana tutakupigia simu na kuwa na uakika na kile tunacho hitaji .
 
Chema,
Mkuu wewe mfanya Biashara... mwaga data hizi habari za Usiri ndizo zinaziotuangusha..unaona taabu gani kusema mali zako zinaanzia bei kadhaa hadi kadhaa kulingana na model, giga na kadhalika.. Ingekuwa wewe mnunuzi ningekuelewa lakini kama watafuta soko mkuu wangu weka Ad yako wazi.
 
Mkuu hizo laptop zako ni za wizi? tupatie sifa zake hapa na bei biashara ya kutumia pesa zetu kukupia simu halafu tukute mzigo wenyewe sio mzuri italeta usumbufu kidogo...ukiweka sifa zake hapa itakuwa vizuri maana tutakupigia simu na kuwa na uakika na kile tunacho hitaji .
Kweli kabisa, hebu mwaga sifa za laptop hizo na bei zake. Kwa nini ufiche?
Hata unaponunua nyumba ni lazima uulize ina vyumba vingapi, ya nyasi, ya bati, ina umeme maji n.k.
Sasa na wewe utupe sifa za laptop zako na bei zake ndiyo itakuwa rahisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom