Laptop Yangu inafuta Data kila ninapoizima

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,481
14,331
habari zenu wakuu, nina laptop HP Pro Book 4520's, kwa muda kama wa miezi miwili hivi nilimwazimisha mtu kuitumia sasa juzi kanirudishia taizo ambalo lipo kwa sasa ni kwamba ninaposave file zangu zinakaa vizuri kabisa lakini nikizima nikija kuwasha zote zinakuwa zimefutika,, halafu message ifuatayo inasomeka........

You have been logeed on with a temporary profile..
You cannot access your files and files created in this profile will be deleted when you log off. to fix this log off and try logging on later.
please see the event log for details or contact your system administrator.

msaada wakuu maana jana nimepoteza data nyingi sana....
 
Sihani kama mafaili yamefutika ila huyaoni kwa sababu kila unapolog in unatengenezewa profile mpya. Ukiingia directly kwenye C drive kisha Users na ukatafuta humo utayaona hayo mafaili.
 
Sihani kama mafaili yamefutika ila huyaoni kwa sababu kila unapolog in unatengenezewa profile mpya. Ukiingia directly kwenye C drive kisha Users na ukatafuta humo utayaona hayo mafaili.

nimefanikiwa ku solve hiyo ishu thanx wakuu..
 
Siku ingine usiazimishe laptop yako, hivi ni vitu very personal. Kama anashida sana ya kompyuta aingie internet cafe. Au uwe na nyingine spare kama ni msamaria mwema.
 
hahaa haaa asante technician wangu, lakini nilikuwa nazo mbili halafu jamaa ni rafiki yangu wa damu...

Siku ingine usiazimishe laptop yako, hivi ni vitu very personal. Kama anashida sana ya kompyuta aingie internet cafe. Au uwe na nyingine spare kama ni msamaria mwema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom