Laptop yangu inachora msitari kwenye screen

SONGEA

Senior Member
May 29, 2008
101
8
Habari wakuu, laptop yangu inachora mstari kwenye screen, nimeshindwa nini nifanye ili kuondoa tatiizo hilo, pia sijajua hili linasababishawa na nini. Naomba msaada
 
Rangi ya mistari ikoje? Ni ya kung'aa sana au? If so hapo peleka kwa fundi tu.
 
Data cable inayotoa signal kwenye mother board to disply inaweza kuwa inatatizo(imekatika baadhi ya nyaya) au disply yenyewe inaitaji kubadilishwa,kama upo Dar niPM niweze kukusaidia
 
Screen yako mbovu... unganisha kwenye monitor nyingine, kama inadiplay vizuri basi badili screen yako..
 
tatizo hili nimeliona kwenye laptop mbili tatu hivi, i guess na mimi ntafaidika na solution
 
Habari wakuu, laptop yangu inachora mstari kwenye screen, nimeshindwa nini nifanye ili kuondoa tatiizo hilo, pia sijajua hili linasababishawa na nini. Naomba msaada

Hiyo screen imepata mechanical damage. Tatizo hili hutokea unapoweka vitu vizito juu ya laptop (with screen folded); mfano vitabu, etc. Ni mambo huwa tunafanya kwa mazoea, dawa yake ni kubadili screen, waone watu wa IT watakusaidia.
 
Idea iliyotelewa hapo juu imekaa vizuri sana,kwanza anza kwa kuchomeka kwenye CRT/LCD monitor ya nje kama still mstari unatokea basi check na data cable ya Laptop kama iko poa Data cable check na Chipset ya VGA mara nyinge pins zake hutoka solder due to Expansion na Contraction kama iko poa badilisha Display yote itaamka vizuri.
Ki ukweli kufunga na kufungua kiafya ya Laptop Display sio nzuri huchangia tatizo hili na pili Expansion na Contraction ni sababu ya kawaida kwenye vitu vya IT.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom