Laptop yangu hdmi, sound port hazifanyi kazi ghafla!

Emmado

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
209
215
Wanajamvi naomba mnisaidie hili tatizo, mwanzoni kwenye laptop yangu ya COMPAQ Presario CQ50... Nilikua natumia window 7 ultimate.. Nikabadili window nikaweka windows Vista business. Baada ya kuweka hiyo window HDMI port haitoi video tena, na port ya kutolea sauti nayo hafanyi kazi. Nimejaribu ku uptodate mara kadhaa .. lakini bado tatizo lipo pale pale... Maomba msaada wenu wanajamvi...! ​
 
Yaan unatoa windows 7 unaweka vista?!for what exactly!?? Rudisha tu windows 7 kabla hayajakupata matatizo makubwa zaid ya hilo!! Vista kimeo! Drivers kibao zitakusumbua mkuu!
 
CHUKUA USHAURI Huu,
Yaan unatoa windows 7 unaweka vista?!for what exactly!?? Rudisha tu windows 7 kabla hayajakupata matatizo makubwa zaid ya hilo!! Vista kimeo! Drivers kibao zitakusumbua mkuu!
 
yaani angalau ungesema umetoa win 7 umeweka xp ningekusaidia...lakini vista??? what for?? coz all what you need in vista has been more improved in win 7!!! why going back??
 
yaani angalau ungesema umetoa win 7 umeweka xp ningekusaidia...lakini vista??? what for?? coz all what you need in vista has been more improved in win 7!!! why going back??[/QUOTE


NASHUKURU KWA USHAURI!
NIPO PORINI KWENYE PROJECT NA PC HUKU INAHITAJIKA SANA... TATIZO PC YANGU ILIPATA TATIZO IKABIDI NIWEKE WINDOW NYINGINE SASA NILIPO HUKU NILIPATA HIYO WINDOW VISTA BUSINESS ... NIKAWA SINA NAMNA ILA NIKIRUDI TOWAN CHA KWANZA INABIDI NITOE HII VISTA..!
ASANTENI!!!

 
Back
Top Bottom