Laptop ya JK yatoweka kiutatanishi!

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Kuna tetesi za kuaminika kwamba kompyuta ya mapajani (Laptop) ya mkuu wa kaya imepotea katika mazingira ya kutatanisha.

Salva karibu for comments................
 
Duh si mchezo imepotea hapo hapo Magogoni au MBY aliko kuwa kwenye ziara tunaomba Nyambala utufafanulie zaidi imepotea ikiwa wapi?
 
Kuna tetesi za kuaminika kwamba kompyuta ya mapajani (Laptop) ya mkuu wa kaya imepotea katika mazingira ya kutatanisha.

Salva karibu for comments................
Huu udaku, labda mwizi mwenyewe aje hapa amwage dataz kutoka kwenye hiyo laptop!
 
....the information age
....and the new wave of crimes, siyo kwa nia ya kupata hicho chombo bali kupata kilichomo!!
 
Mmmmmmh!

kama kweli imeibiwa, je hakuna mtu mwenye uhusiano na huyo mwizi atuletee data? otherwise namashaka!
 
Mmmmmmh!

kama kweli imeibiwa, je hakuna mtu mwenye uhusiano na huyo mwizi atuletee data? otherwise namashaka!

Mmmmmmh!

Kama kweli haijaibiwa, je kuna mtu mwenye uhusiano na huyo aliyeibiwa atuletee data? otherwise ninamatumaini!
 
labda ni wanae wameificha kwa nia ya kucheza game au vinginevyo, si ana watoto wadogo:confused:
 
Sio rahisi hata kidogo na hata kama imechukuliwa wewe uliyechukuwa usitegemee kupata chochote kipya toka katika laptop hiyo hakuna lolote la maana -- watu wa usalama wanajua hilo
 
labda ni wanae wameificha kwa nia ya kucheza game au vinginevyo, si ana watoto wadogo:confused:

:D :D kwi kwi kwi....... wameificha nyuma ya ua chini ya makuti, watakitumia ki-processor chake kikipata joto kujipikilisha na tule tu-RAM watatutumia kama tumakaa twa mawe.

Mama, anao watoto wadogo, mmoja au wawili nadhani ni adopted.
 
Sio rahisi hata kidogo na hata kama imechukuliwa wewe uliyechukuwa usitegemee kupata chochote kipya toka katika laptop hiyo hakuna lolote la maana -- watu wa usalama wanajua hilo

Unatamani kweli ungeichukua wewe.....nyoooooooooo!!!
 
:D :D kwi kwi kwi....... wameificha nyuma ya ua chini ya makuti, watakitumia ki-processor chake kikipata joto kujipikilisha na tule tu-RAM watatutumia kama tumakaa twa mawe.

Mama, anao watoto wadogo, mmoja au wawili nadhani ni adopted.

watoto wa rais bwana, wanadokoa laptop na sio coins za mia mia au kulamba sukari.
 
Kuna tetesi za kuaminika kwamba kompyuta ya mapajani (Laptop) ya mkuu wa kaya imepotea katika mazingira ya kutatanisha.

Salva karibu for comments................

hii ni new zeal new vigor with new speed
nadhani hii ndiyo falsafa inayofanya kazi
 
Laptop mhhh.. sidhani kama hii itasababisha wezi wa EPA wasifunguliwe mashitaka, ama kwamba Bajeti itayumba kwa mkulu kununuliwa laptop mpya

Sasa ama ameibiwa ama la atutimizie tunayo yataka kwani hako ka laptop hakazuii hayo.

Ila kama wamekaiba ajue ulinzi hana siku nyingine akiangalia vibaya atajikuta soksi ya mguu mmoja hana japo asubuhi alivaa zote mbili.
 
Watu wa Ikulu wanasema inawezekana wame-misplace kwa hiyo wanaitafuta na kujua ilipo. Wanasema inawezekana watu waliopanga mizigo wameiweka "mahali" ambapo wamapasaau.!!!!!!! PATAMU hapo
 
Kutokana na Maelezo ya watu wa karibu Laptop yenyewe imejaa bongo flava na movie za utamu, ambazo Mh huwa anasikiliza na kutizama akiwa safarini. Hivyo haina athari yoyote katika uongozi na usalama wa nchi.
 
Back
Top Bottom