Laptop Security, Tools and Software

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
nimejaribu kutafuta kwenye net nasikia kuna software inakuwa installed kwenye laptop kama security,hiyo laptop kama itaibiwa unaweza kujua iko mitaa gani,tumeibiwa laptop karibu saba ndani ya mwaka mmoja,msaada ili tuweze kukamata wezi wetu na kuwajua,na je nauliza inafanyaje kazi?
 
sijasikia juu ya suala hili, ila siwezi bisha wala kukataa. lakini tujiulize hv?

Hiyo laptop ikishaibiwa kweli mtu atatumia bila ya kufanya full formating? for my view i dont think its software only, its a hardware combined with software. Ni kama mfano vile utrack ya magari,they need to install some kind of device yao ili kuweza ku track gari lilipo

LETS WAIT FOR OTHERS AND SEE THEIR VIEWS
 
Back
Top Bottom