laptop pentum (r)m mbili zinauzwa kwa sh laki tatu na nusu tuuuuu na hazina tatizo kabisa 0764435828

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,708
1,551
Nina laptop mbili zinauzwa kwa shilingi laki tatu na nusu kamili ni safi zisizo na matatizo yeyote kwa mawasiliano wasiliana nami kwa 0764435828 nipo mabibo.
 
Ni vizuri kutoa specification Mfano Aina, model, processor speed, Ram speed, storage capacity, screen size etc hiyo itasaidia zaidi.
 
Mkuu wewe umejiunga siku ya kwanza tu unatangaza Business, lakini haujafafanua vizuri hizo laptops ni aina gani na sifa zake...
 
storage capacity ni (78 gb) ram ni (1 gb) moja ina rangi nyeupe na nyingine ina rangi nyeusi HAKUNA TATIZO ITABID MNITUMIE MAELEKEZO NIJUE JINSI YA KUCHANGIA JF
 
Hazina Brand name mkuu??? na hizo specs unazotaja hakuna Hard disk yenye 78 mbona longolongo kua serious
storage capacity ni (78 gb) ram ni (1 gb) moja ina rangi nyeupe na nyingine ina rangi nyeusi HAKUNA TATIZO ITABID MNITUMIE MAELEKEZO NIJUE JINSI YA KUCHANGIA JF
 
oh sory unajua still si mtaalamu sana na computer kiundani ni 80 na si 78 kama niliyosema take easy ndugu processor speed ni 3.00GHz..
 
We nawe, haya makao makuu tena???.....Msekwa mwenyewe kachoka kuyapata


Kodolea jicho lako screen ya PC yako utayaona...In shirt angalia chini kwenye window yako ya JF utaona sehemu iliyoabndikwa "Where are We"
 
Na Kwa wale wenye matatizo ya Spea za Laptop au Desktop Computer spea za aina yoyote ile zilizoshindikana hapo Nyumbani Tanzania kupatikana ninamaanisha hakuna spea hapo Bongo wajaribu kuwasiliana na mimi nitaweza kuwasaidia Asanteni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom