Laptop Mpya(ndani ya boksi zake) Toshiba Satellite Zinauzwa Haraka!

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Wana-JF tuna laptop mpya kabisa aina: "Toshiba" Satellite, Windows 7
Model C830
2GB RAM
500GB Hard Drive
Intel Duo Processor 1.6 Ghz

BEI TShs. 700,000/= (Zinaweza kuuzwa kwa TShs. 680,000/=)

Ziko unit 10 tu.

Mawasiliano: 075 704 9601; 071 590 7360; 071 564 4006
 
Mbona unalazimisha biashara? Neno haraka siyo la kibiashara linasound kana kwamba hizo bidhaa umezipora sehemu.
 
Made in wapi?

Kwa bei hiyo ni China tu!!! Ofisi wapi? Na risiti ipo? Maana hivi vitu unanunua huna physical office and legal receipt ni hatari maana risiti za makaratasi ni lazima ziambatane na ile ya TRA!!!!!! Legal trade forever!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom