Daa hiyo iliibiwa kutoka kwa mchina nini madili mengine bongo siku hizi hewa . labda kopi yake ya OS niyakichini orijinal hapo ndo kwenye katatizo
Mambo vipi wakuu natumaini wote ni wazima
nina tatizo kuhusu laptop aina ya lenovo E40
tatizo lake ipo katika lugha ya kichina sasa nimejaribu kuchange iwe ya english nimeshindwa,ila kwenye keybord ipo in english,na ni window7