Laptop lak 6 na 30

kaka unauza computer pia? Nimeona umesema Laptop ukaweka coma HP au unauza Laptop aina ya HP?
Kama una computer nijibu. asante
 
Jamani hiyo laptop inafanana na bei. Maana laki sita mtu unaanza kuuliza specs. Anh!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom