Laptop kwa Tshs laki 4!

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Natafuta laptop ya mdogo wangu! bei hiyo hapo juu aliyenayo karibu. Anitumie spesic za hiyo laptop asanteni!
 
sidhani kama utapata laptop ya maana kwa bei hiyo,laptop nzuri ni kuanzia angalau laki 9 kwa bongo
labda used au nunua net book kwa laki 5 au laki 6 lakini mpendwa kwa bei hiyo sijui
 
Jaman mwandishi kweli???
 
Natafuta laptop ya mdogo wangu! bei hiyo hapo juu aliyenayo karibu. Anitumie spesic za hiyo laptop asanteni!

Wakupendwa Hiyo Pesa Mingi sana Nenda Kampala utapata tena mpyaaaa? Au ni PM nikuletee utanirudishia pesa sawa Usijali Kuanzia dola 250,300, kwahizo laptop ndogo na pia hata ukiongea vyema unapata kwa usd 200 ni sawa na ngapi zidisha mara 1500. ni PM nikupe namba zangu
 
Take care mimi nipo kwenye laptop nyingi mnoo ila nakupa taadhari ya vya bei rahisi
ni gharama. Kama unahitaji ushauri weka specifications zako
 
Umeshapa? kama hujapata nishtue ninazo mbili za bei yako..ni p4 hardisk 40GB RaM 256 HP COMAQ....kama ukiongeza kidogo nita upgrade!
 
Wakupendwa Hiyo Pesa Mingi sana Nenda Kampala utapata tena mpyaaaa? Au ni PM nikuletee utanirudishia pesa sawa Usijali Kuanzia dola 250,300, kwahizo laptop ndogo na pia hata ukiongea vyema unapata kwa usd 200 ni sawa na ngapi zidisha mara 1500. ni PM nikupe namba zangu

Sasa PM inakataa jaman wewe umejifungia usipate PM kwanini tuongee basi ili uniletee unakuja lini?
 
Umeshapa? kama hujapata nishtue ninazo mbili za bei yako..ni p4 hardisk 40GB RaM 256 HP COMAQ....kama ukiongeza kidogo nita upgrade!

unaposema kuapgrade unamaanisha utaiongezea ram jaman au
 
Mimi ninazo za acer, nauza laki 9, Ni PM nitakupatia tu kwa hiyo bei, inavoonesha unauhitaji mkubwa, na nyie warembo hamtakiwa kupata shida hata kidogo. So just PM me.

haya angalia pm yangu
 
YA ram itakuwa 1 GB hardisk inakuwa 80GB ni nzuri kwa mdogo wako upgrade cost ni laki 1 tu so total laki 5.
 
jamani mimi sijui niitoe wapi hiyo laki 1 ila hii ndo yeye anataka alisema
 
sidhani kama utapata laptop ya maana kwa bei hiyo,laptop nzuri ni kuanzia angalau laki 9 kwa bongo
labda used au nunua net book kwa laki 5 au laki 6 lakini mpendwa kwa bei hiyo sijui
Nenda Kariakoo zipo hata za laki tatu kwenye maduka ya wasomali ni used , HDD kama GB 40 au 60 kama ni kwa kuandikia notes na kuangalia picha au kutumia intaneti huo ukubwa unatosha
 
Kwa soko la Dar, wajanja wengi lazima bei itakuwa ya kifisadi fisadi. Kwa Uganda ukipata mtu anakwenda huko kwa hiyo laki 4 unapata sawa na ya Dar ya laki 9.
 
Natafuta laptop ya mdogo wangu! bei hiyo hapo juu aliyenayo karibu. Anitumie spesic za hiyo laptop asanteni!

Unaweza kupata + or - that price . lakini itakuwa nia Atom processor na 10" Monitor. Go any computer shop
 
jamani mimi sijui niitoe wapi hiyo laki 1 ila hii ndo yeye anataka alisema
Dada yangu waulize watu specifications maana yake nini. Sasa wewe mtu akuuzie kilaptop kina GB 40 au 60 na RAM 256 au IG hivi ni kilaptop gani hicho? Utahangaika na kitakuwa kinaspeed ndogo. Waombe waliopo nje utapata lapto nzuri.hiyo story ya Uganda ni utata tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom