Laptop inashindwa kuwaka

jinalako

Member
Apr 8, 2011
56
2
Nina laptop HP ina AMD Turion processor. Tatizo lake ni kuwa unapoiwasha inakuwa kama inawaka halafu inajizima na kutaka kuwaka tena . hiyo process inajirudiarudia hivyo hivyo. mara nyingine inaweza kukaa hata nusu saa ndipo iwake. na mara nyingine inagoma kabisa kuwaka. Naombeni ushauri wenu.
 
Back
Top Bottom