laptop imegoma kuwaka

Hujaweka information yoyote ndugu......aina gani ya laptop, ilianzaje? sasa hivi ukiwasha inafanyeje? (lazima kuna kitu inafanya) unafikiri tatizo limesababishwa na nini......ukibonyeza power Button inafanyaje......
 
labda anataka atizamiwe kwa njia ya bush doctor (ramli,)
 
Kwanza kabisa check umeme upo (ngere ja huwa hakawii sometimes), check connection zako za power kama ziko sawa. then twambie kini kimetokea ukiwasha tena.
 
asanteni kwa marekebisho. Ilistack nikaizima, nikawasha baadae ndo haikuwaka. Sasa ivi inawaka but after sometime inastack.
 
Unatumia laptop aina gani? yenye Operating System gani? na imekuwaje hadi ikagoma kuwaka? na tatizo hilo limeanza lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom