Laptop yangu inafunguka kama kawaida. Ikifikia wakati fulani, keyboard inaji lock. Mouse haifanyi kazi, pointer ina simama, It means siwezi endelea na kazi yoyote mpaka kuboot. Nimefuta almost doc zote ikawa na free space kwenye HD bado inasumbua! Mbaya niki boot unsaved doc zote zinapotea. Naweza rekebisha vipi? Laptop ni IBM, 20GB, 640 RAM