Laptop haiwaki kudisplay anything.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
ni hp pavilion Laptop, ukipress power button ili kuswitch on, led inayoindicate status ya laptop kama either ipo ktk sleep mode inablink continuously with no any display of any character ktk screen. Pia fan haisikiki kuunguruma. Pia ukichomeka tu power adapter inajiwasha na kuanza kublink continuous. Je tatizo litakuwa ni nini..? Msaada plz.
 
Nadhani sio Display problems, peleka kwa fundi au kama mtundu anza kutoa ram zote weka moja moja kama bado weka ram nzima. ukiona bilabila..then tatizo si ram

ni processor...tena umesema feni haizunguki hapo balaaa kupata processor mpya hadi dukani ila ni vizuri uende kwa fundi tu sababu unaweza potez pesa za processor kumbe ishu ni nyingine.

kama unataka test display ..basi chomeka external monitor..hapo pembeni kama unachomeka projector...utafahamu kama ni mbovu au laa.

nadhani ni ram tu badilisha ram halafu tuambie hapa tujue..pole

cheers!!
 
mimi mwnyw nlidhan ni ram bt pia nashawishika kwamba ni mazabod imeshort ckt kwa kuwa inaonesha kuwaka pindi tu ukichomeka laptop adapter. Kwan mazaboard ikishort kunakuwa na indications gan.?
 
UKICHOMA MOTHERBOARD HATA Power HAIINGII .....SO i think SIO MOTHERBORD ILA INAWEZA KUWA POSIBLE. pia ..i think ni PROCESSOR UMEICHOMA SO ANGALIA KIPI BORA.

motherboard inapatiaka japo gharama yake kubwa na processor inapatikana pia gharama si kubwa sana.
so angalia urefu wa kamba yako.

ila ni vizuri ukapata processor nyingine ujaribu kwanza
 
mimi mwnyw nlidhan ni ram bt pia nashawishika kwamba ni mazabod imeshort ckt kwa kuwa inaonesha kuwaka pindi tu ukichomeka laptop adapter. Kwan mazaboard ikishort kunakuwa na indications gan.?

Motherboard haifi kirahisi hivyo. Ni tatizo la kifaa fulani kwenye motherboard. eg one of power IC au dispaly adaptor. Na kuna baadhi ya model za HP kwenye mazingira ya joto zkama la bongo zina matatizo sana......

Kuna badhi ya model design ya display adaptor yake iko karibu na CPU na CPU iki heat sana inasumbua mfumo display na mifumo mingine ya laptop.

So nenda kwenye site ya manufacturer au nenda youtube utapata guidelines za suluisho. otherwise toafuta fundi
 
kuchoma Motherboard i mchezo!!! ni vitu vingi vitaungua kwanza kabla hujamchoma mother board...labda kama uliidondosha hata hivyo powe isinge waka waka!! NENDA KWA FUNDI ANAVIFAA VYOTE VYA KUCHEKIA USIJE ukalazimisha n uka choma kweli hilo li mama board
 
Ngoja nigeuke hp engineer kwa muda mfupi. Nifurumushe kila ki2 mpaka belt za display. Nitarudi kuwashtua imekuwaje.
 
chomoa betri na urudishie tena itadisplay I hope. Niliwahi kukutana na tatizo hilo kwenye laptop hiyo hiyo lakini baada ya kutoa na kurudishiwa betri iliwaka mpaka leo.
 
  • Thanks
Reactions: mja
thanx ol of you, nimefanikiwa kugundua tatizo. Kumbe ni ram ndo ilikuwa kimeo.

Yeah,also My laptop (DELL LATITUDE D400) had the same problem,,,fundi alikuja gundua kuwa RAM ilikuwa na matatizo! Alirekebisha,laptop ikawaka but ikawa very slow,akanishauri ninunue RAM mpya ya 1GB from 512MBx2 iliyokuwapo.....and this was the only solution!!
 
Back
Top Bottom