Laptop haisomi flash drive wala external harddisk drive

SunStrong

Member
Jan 24, 2011
56
3
PLEASE, Naomba mnisaidie wadau. Laptop yangu ina OS mbili. Ubuntu na XP. Nikitumia ubuntu mambo poa ila nikilog-in kwenye windows XP haisomi flash wala externel, I don know how to solve it. I NEED YOUR HELP, Urgently!
 
Mkuu umekuja at the right time! yangu ipo ktk tatizo hilohilo na hata jacks zote pia zipo malfunctioned!ngoja tusikie wataalamu!
 
Mkuu, kuna virus anaitwa USB bolcker ni simple virus ambae hata wewe unaweza kutengeneza,so inawezekana ameingia ktk PC yako, so scan it with good antivirus or repair/format your system--niko nazo code za Unlock yake ila kwa sasa niko bizz kukutengenezea hiyo program ila kama utahitaji code zake PM me.
 
PLEASE, Naomba mnisaidie wadau. Laptop yangu ina OS mbili. Ubuntu na XP. Nikitumia ubuntu mambo poa ila nikilog-in kwenye windows XP haisomi flash wala externel, I don know how to solve it. I NEED YOUR HELP, Urgently!

hemu elezea,ukichomeka flash does anything happens?i mean ile alama ya Flash kuonekana?JE ulikuwa unatumia mwanzo vizuri?Most important umewahi ku disable USB in your system? i recomend u check usb settings if kama they disabled or not!!All the best!!!
 
ukiweka flash inadetect "new hardware found" ila hutoiona kwenye system.ukiweka external haisomi chochote.
 
ukiweka flash inadetect "new hardware found" ila hutoiona kwenye system.ukiweka external haisomi chochote.
ohky,wakati umeconnect your flash,usidisconnect,right click on my computer kwenye desktop,then go to manage,then kwenye manage chagua device manager,then go to universal serial bus controllers,Angalia kama kuna usb mass storage yoyote ilikyokuwa disabled,kama iko disabled itakuwa na alama ya X,if kama ipo,right click on it and then click enable....
 
just follow the instruction

go to start
right click on my computer
click on manage
then click on storage
then click on disk management
then right click on your device and select add letters and path
window will pop up then click on add
the select an alphabet and click on ok

this will solve your problem
 
Back
Top Bottom