Laptop Dell N5010 Brand new inauzwa.

KIJANI

Senior Member
Dec 13, 2010
138
26
Brand new Laptop yenye spesfication kama ifuatavyo;

Model: N5010, Inspiron
Manufacturer: Dell
Hard disc: 500GB
Ram: 4GB
Processor: Intel(R) 2.67GHz Core i5
Webcam
Wireless
Bluetooth
Screen: 15.6"

Bei: Not less than 1.2m
Call: 0714/0767-235923
 
unaweza kuniletea Ilala? nahitaji sana hatuna haja ya ku discuss bei
 
Inawezekana kama uko serious na biashara!
Hiyo inaapply upande wako zaidi! Yeye amesema bei haina mjadala, atakata pesa fasta! wewe uliza yuko pande zipi na umkute wapi mmalize biasara! Usipomkuta basi unarudisha kitu dukani....hasara ya sh. elfu kumi ya mafuta si mbaya sana! just kiddin...lolz
 
Mambo ya miadi na mwenyemali kwenda kwa mtu usiyemjua na usikokujua mtajuana huko huko wenyewe. Isijetokea mwenye mali kawa ndo malipo ya mali yake kwa mnunuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom