Laptop aina yoyote inatafutwa.

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
372
119
Kwanza kabisa napenda kuwashukuru wana JF kwa ushirikiano mlionipa mpaka nikafanikisha kupata Laptop kwa tangazo la kwanza. Kwa mara nyingine natafuta tena nyingine iliyotumika kwa bei ya 250,000/- za Kitanzania. Mawasiliano yangu ni 0754004189 au 0783757008. Ahsanteni.
 
Nenda kariakoo nasikia opposite na Polisi ya msimbazi kariakoo
ukiwa kwenye kituo cha mabasi yaendayo Ubungo ulizia duka la vitu vya computer
 
Back
Top Bottom