Laptop aina ya dell latitude d 620 screem imekuwa nyeusi

kiloloma

Member
Oct 16, 2011
54
3
Laptop yangu kila nikiwasha screen inakuwa nyeusi lakini taa zina blink je nifanyeje naomba msaada wenu
 
Itakuwa imevunjika INVERTOR inayounganisha screen display.......Kariakoo mafundi kibao wapo ......watashughulikia tatizo!!!!laptop yangu ilikuwa hivyo hivyo inawaka lakini screen nyeusi icon zinaonekana kwa mbali sana
 
Back
Top Bottom