Lapf wachakachua mirathi jaman

Kazakuku

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
354
110
Wana jf naombeni ushauri nimsaidie nimpatie swahiba wangu.. Anasimamia mirathi ya kaka yake ambaye ni marehemu,tatizo ni kwamba huu ni mwaka wa 3 tatu sasa, anazungushwa wakati kila kitu alishakamilisha kila akienda ktk ofis zao wanamwambia bado.Tafadhari jaman anaomba ushauri afanyeje ..Nawathilisha.
 
Wana jf naombeni ushauri nimsaidie nimpatie swahiba wangu.. Anasimamia mirathi ya kaka yake ambaye ni marehemu,tatizo ni kwamba huu ni mwaka wa 3 tatu sasa, anazungushwa wakati kila kitu alishakamilisha kila akienda ktk ofis zao wanamwambia bado.Tafadhari jaman anaomba ushauri atumie njia gani mbadala ili aweze kufanikiwa ..Nawathilisha.
 
Namna ya kufanikiwa hapo inabidi na yeye achakachue (ingawa kisheria haikubaliki). Vinginevyo gharama atakazotumia zitazidi hata hyo pesa ya mirathi.
 
Namna ya kufanikiwa hapo inabidi na yeye achakachue (ingawa kisheria haikubaliki). Vinginevyo gharama atakazotumia zitazidi hata hyo pesa ya mirathi.
<br />
<br />
duh!Futari yangu jaman.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom