Lap top yangu inapata moto sana

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
WanaJF anomba ushauri ktk hili:
Lap top yangu ni aina ya HP Pavilion dm3. Inapata sana joto ninapokuwa natumia ikiwa connected kwenye umeme, zaidi ni pale nikitumia internet.
Na ikitokea hivi huwa fan yake inapuliza sana. Kwa kawaida ninaitumia ikiwa kwenye meza yenye kitambaa. Lakini nikiitumia kwa battery yake tu, haipati joto kabisa na inakuwa silent ninaweza kuitumia hata masaa 2-3 bila kuzima.

Je, hivi ndio inaanza kuchoka kwa style hii? What can be the solution?
 
Inawezekana battery ina matatizo ya kucharge maana inapata moto wakati imeunganishwa na umeme wa ukutani na ni wakati huo battery huwa inacharge. Umesema wakati hakuna umeme inakuwa poa hii ina maana bettery inakuwa inadischarge. In short, discharge is ok, charging not ok. Jaribu kubadili battery au charger adaptor.
 
Kwa hp pavilion, hayo ndo matatizo yake. Mkuu jiandae kununua computer nyingine...., wenyewe hp wamekili kuwa Pavilion series ni bomu.
 
Kwa hp pavilion, hayo ndo matatizo yake. Mkuu jiandae kununua computer nyingine...., wenyewe hp wamekili kuwa Pavilion series ni bomu.
natumia HP sina hayo matatizo labda ni model in side Pavillion ziko nyingi
 
Hapo unapoweka kwenye meza ya kitambaa, unakuwa umeiziba cooling system ambayo ipo kwa chini, try kuremove hicho kitambaa ibaki meza tupu. Pia avoid kuweka laptop sehemu nyingine yoyote ambayo unadhani utakuwa una block cooling system mfano kitandani...
 
Inawezekana feni imepata vumbi sana na haipoozi cpu vizuri,jaribu kuisafisha hasa kwa kuondoa vumbi katika cooling system nzima
 
lakini aina hizo za computer wengi wanazilalamika sana kwamba huwa zina-overheat hata acer pia zina matatizo kama hayo, kama next time ukitaka kununua computer chukua DELL
 
Nunua nyingine but hakikisha umenunua kwenye duka linalo uza za baridi kama maduka ya madawa.sawaa?
 
Samahanini wakuu,,nami nilikuwa na tatizo kama hlo lakini yangu ina kuwa ina heat wakati wowote hata kama haiko katika umeme,,,,,,,hii ni DELL (intel,,core 2 dou).,,,,,,,,,,,,,,,nami naomba ushauri kwa hli pia........
 
Comments nyingine, sio tu kwamba zinanidhalilisha, bali zinaonesha jinsi gani watu wengine wanavyotumia masaburi ktk kufikiria.
Kwani kama hujui kitu, ni lazima kupost? Si utulie tu usome za ma Great Thinkers. Watu wengine mna bore sana. Au mmetumwa?
 
WanaJF anomba ushauri ktk hili:
Lap top yangu ni aina ya HP Pavilion dm3. Inapata sana joto ninapokuwa natumia ikiwa connected kwenye umeme, zaidi ni pale nikitumia internet.
Na ikitokea hivi huwa fan yake inapuliza sana. Kwa kawaida ninaitumia ikiwa kwenye meza yenye kitambaa. Lakini nikiitumia kwa battery yake tu, haipati joto kabisa na inakuwa silent ninaweza kuitumia hata masaa 2-3 bila kuzima.

Je, hivi ndio inaanza kuchoka kwa style hii? What can be the solution?

Nimesoma Comment zote za wadau, achana na hizo za utani, ninachojua komputa yako bado nzima, kulingana na maelezo ya wadau, wanaokushauri ununue nyingine siyo veeema saaana, ila waweza kununua kama una pesa nyingine. Cha kufanya;

1. Hakikisha hutumiii computer yako ikiwa juu ya kitambaa, kapeti au nylon na hata kwenye mapaja unatakiwa kuhakikisha sehemu ya cooling system haizibwi. Weka laptop kwenye plain table isiyona kitambaa. kitambaa kinaiziuia kupumua vizuri hivyo kuifanya ichemke, hust imajini mtu akisikia baridi hujifunika nguo, sasa huoni kama kitambaa chako kinaziba upozaji wa computer yako. hakikisha chini ya laptop yako kuna nafasi unapoitumia.

2. Nenda kanunue feni za laptop, zipo za aina mbalimbali, unaiweka chini ya laptop kisha unachomeka USB plug yake kwenye moja ya tundu la komputer yako, inapoza vizuri sana na itaokoa garama ya kununua computer mpya. Waweza ku Google ukaona image ya feni za laptop, kisha uchague inayokupendeza.

Kimsingi, inashauliwa kutumia kila laptop ikiwa kwenye feni yake hasa mikoa ile yenye joto. Hii inasaidia komputer kudumu muda mrefu. Kwa wale wanaonunua vi-Note book bila feni, huwa havidumu. Laptop au computer zinahitaji ubaridi ili ziweze kudumu. Na ndiyo maana inashauliwa chumba cha computer kiwe na cooling sytem, kiyoyozi nk ili kuzifanya zipate cooling ya kutosha. Tembelea taasisi za serikali zote- zenye Public Komputer utakuta zina cooling system, hii ni moja ya requirement ya chumba cha computer. Usipofanya hivyo computer hazidumu.

Sawa sawa
 
5 Tips for Making a Hot Laptop Cooler

belkin-laptop-coolingPRN2_F5L001.jpg
Laptop cooling pads like the Belkin Cooling Pad increase air flow
Photo © Belkin

Laptop computers naturally run hot (or at least very warm), and if they stay hot for prolonged periods of time they may overheat and cause serious damage. Whether or not you're experiencing the warning signs and dangers of your laptop overheating, the simple and inexpensive protective measures below will help keep your laptop cooler and make it work more reliably.

5 easy tips to cool a hot laptop

1. Adjust your power settings from "high performance" to a more "balanced" or "power saver" plan. This will tell the system to only use the power required to run your applications, rather than always using the maximum processor speed; if you need to play games or other intensive work, you can switch back to the high performance plan as necessary.

2. Use dust remover spray to clean out of the laptop's vents. Dust can accumulate in and block the laptop's fan vents -- a problem easily solved with a can of compressed gas (~$10). Turn off your laptop and spray the vent to remove the dust.

3. Use a laptop cooling pad that has a fan or two. Laptop pads that have vents but no fans can also increase the air flow around your laptop and they're very portable, but for stronger cooling needs, a fan is the best way to go. For this test, I used a Belkin F5L055 (under $30), but there are also several others selected by this site's previous guide that you can explore or you could evencustom build a laptop cooling system if you're so inclined.

4. Keep your working environment or computer room as comfortably cool as possible.Computers, like most people, work much better in air conditioned environments. Most server rooms or data centers operate at 70 degrees or below, according to Server Fault, and that seems like an ideal temperature recommendation for home offices as well.

5. Shut down your computer when not in use, and especially when you are not at home.The last thing you need when you get home is to find out your laptop was a fire hazard (one of thedangers of overheating laptops).

Taking the steps above brought down the internal temperature of an old and dangerously hot laptop from 181° Fahrenheit (83° Celsius) to 106° F (41° C) -- a difference of 41% after one hour of using the active laptop cooling pad and bringing the room temperature down to 68 degrees.

If you continue to experience laptop heat problems, contact your laptop vendor -- it may be a sign that the fan needs replacing, the BIOS program needs to be updated, or there is something else faulty with the system.

Hapo unapoweka kwenye meza ya kitambaa, unakuwa umeiziba cooling system ambayo ipo kwa chini, try kuremove hicho kitambaa ibaki meza tupu. Pia avoid kuweka laptop sehemu nyingine yoyote ambayo unadhani utakuwa una block cooling system mfano kitandani...

nakubaliana nawe mkuu! Even mshauri wangu kwa masuala ya computer alinishauri hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom