Lanmine sniffer rats from morogoro trained to clear mines in mozambique

A very unique project ever heard.
Bravo Sokoine University of Agriculture, you are going to rescue a lot of people from serious injuries and death.
Hongera sana.

Ustaadh, may u check the title of your thread.
 
Wiziiii mtupuuu yaani hao panya buku wameshindwa mabom ya mbagala (tena makubwa na mazito, located few centimetres from the surface) wataweza Mozambique landmines ( which are small ones, light weighted, located some how deeper from the surface) hizi ni porojo tuuu hivi ustadhi unafikiri msumbiji hawana chuo chao cha sokoine? kinachoweza kuwa train hao panya bukuu
 
Una haki ya kutoa maoni yako.
Lkn kwa wale ambao wanajua madhara ya hayo mabomu ktk nchi za Angola na Msumbiji, watasema SUA ni mkombozi.
Kwa taarifa tu, SUA wamepata mkataba wa kutegua mabomu mpaka Cambodia.
 
Back
Top Bottom