Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wakuu teknolojia niakua lakini lluga yetu ya kiswahili bado kiko nyuma. Kama watanzania tunatakiwa tuuganishe nguvu na tushirkiane na kujitolea japo tuwe na ka gruop hapa JF ili tutengeze Swahili language pack kwa baadhi ya CMS kama wordpress, Joomla, V bulettin, Druplal etc .......
Itapendeza viongozi wa jf pia awe mdau sababu hata hii foum yetu ya JF inahitaji spell chekcer ya kiswahili. Kwa sisi wachapiaji itatusaidia sana
Sijui mnasemaje wanatekniki
NB
zaidi ya knowledge nadhani hii itakuwa ni volunteering