Landrover Discovery for Sale-Dar

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
Registration number: T701ASS
Make: Landrover
Model: Discovery
Body Type: Station Wagon
Color: Green
Year of Manufacture: 1997
Engine Capacity: 2490
Fuel Used: Diesel
Mileage: 123,000 kms
Transmission: Automatic
well maintained and well serviced by CMC
IN a very good condition

For business call:0762396579 or 0754711173;;;;;;serious buyers ONLY

IMG-20120526-01539.jpg
Dar es Salaam-20120529-01561.jpg
IMG-20120807-01808.jpg
IMG-20120807-01809.jpg
 
Mheshimiwa saaana....weka japo na bei ya kuanzia ili tuweze kuangalia bajeti zetu mbadala!!
 
Hivi kwanini wafanyabiashara wa kibongo swala la bei wanalifanya taboo?
Hii ni ishara ya kutokuwa na imani na bei yako!!!
 
samahani,nilisahau kuweka bei,bei ni 12,500,000/= (Milioni Kumi na Mbili na laki tano) za kitanzania.samahani sana.
 
samahani,nilisahau kuweka bei,bei ni 12,500,000/= (Milioni Kumi na Mbili) za kitanzania.samahani sana.

Mkuu, bei ni ipi sasa?? Ni 12m na hiyo laki tano ni cha juu chako, au ni 12.5m lakini cd ime stack??


Gari ipo wapi kwa ukaguzi??
 
Bigirita,bei ni 12.5M(nimesha - Edit),piga hizo namba nilizoweka kwa mawasiliano zaidi ili kukagua.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom