Land surveyor needed,urgently!

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
advent construction limited is in need of land-surveyor,of a minimum of three years experience.

A land-Surveyor with construction technology will be given a special priority.He/She can be used to manage some other site-works,for the time when the works of his/her carrier are not available!

chek with the company quantity Surveyor: 0713207300
Or you may directly call +255-22-2600640

This vacancy is valid until monday of 11-05-2009
 
JF ina maana hatuna hata ndugu zetu wanahitaji jobs hizi? au hatuna sifa.....yaaani tangazo lipo hapa no comment, no response tunakatisha tamaa waajiri!
 
Hello! mambo vipi wana jamiiforums....changamkieni hizi kazi kabla jamaa watokao nje
hawajazidaka
 
tatizo kazi za humu siku zote ni utata kwani mimi sina sifa hiyo ya land surveyor lakini kuna rafiki yangu wa karibu nilimtuma afuatilie hiyo kazi CHAKUSHANGAZA alichojibiwa hakuna kazi tena na hakuna mtu aliyetngaza nafasi hiyo. ni uzushi mtupu. tusitumie mtandao vibaya tusipotezeane muda na ndiyo maana hata hakutaja jina wala cheo chake hapo kazini.

ujinga mnafanya siyo mzuri..
 
Geoff,

Hii habari ina ukweli wowote?
 
Mkuu una uhakika na unacho kisema?
Ni kazi ipi hii hii au ipi? Lete data au mpigie jamaa hapo juu akauthibitishie.
 
tatizo kazi za humu siku zote ni utata kwani mimi sina sifa hiyo ya land surveyor lakini kuna rafiki yangu wa karibu nilimtuma afuatilie hiyo kazi CHAKUSHANGAZA alichojibiwa hakuna kazi tena na hakuna mtu aliyetngaza nafasi hiyo. ni uzushi mtupu. tusitumie mtandao vibaya tusipotezeane muda na ndiyo maana hata hakutaja jina wala cheo chake hapo kazini.

ujinga mnafanya siyo mzuri..

Mzee usijumuishe mambo...kama kazi hii ina tatizo sema hii...lakini sio zote..kwani nina uhakika kabisa...post za mwezi jana zilizotumwa na Melo...ni za kweli na dead line ilikuwa ya kweli kuna mtu ka apply ana ameshakuwa shortlisted..wengine niliwatumia kama zile za IT muhimbili..nao wamekuwa shortlisted...next ni interview...please usitake kupoteza maana ya jukwaa hili..please...
 
Mkuu nimekumbuka uliahidi utanitumia 3D extension ya ArcView GIS 3.3 lakini ukaingia mitini, duh noma. Lakini usijali nilishaipata iko bomba, pia nimepata na extension nyingine ya Image Analyst 2.2 ya ArcView GIS 3.3

Poa mkuu tupo pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom