Land o'lakes, inc.

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
waungwana, naomba msaad wa taarifa kama kuna mwenye contact information za shirika linaloitwa Land O'Lakes, Inc. (International Dvt). Hawa jamaa wametangaza nafasi za kazi mbalimbali kupitia Mwananchi Sept 18, 2010. Sijui endapo walisahau au ni kosa la uchapishaji; kwenye tangazo husika hamna contacts zozote zizlizotolewa au any application guidelines. I am conviced kwamba tangazo husika sio "sparm" therefore kama kuna mwenye more information, plz zidondoshe hapa or to nasdaz@yahoo.co.uk..

Kwa faida ya wengine, nafasi zilitolewa ni pamoja na Finance & Grants Manager(Accounting), Monitoring % Evaluation Specialist(Agribusiness), Technical Cordinator(Agribuisness), Program Assist(Agribusiness), Coop & Bus Dvt Specialist, Processing& Quality Assurance Spec. , Lead Animal Health & Breeding Spec. n.k
 
waungwana, naomba msaad wa taarifa kama kuna mwenye contact information za shirika linaloitwa Land O'Lakes, Inc. (International Dvt). Hawa jamaa wametangaza nafasi za kazi mbalimbali kupitia Mwananchi Sept 18, 2010. Sijui endapo walisahau au ni kosa la uchapishaji; kwenye tangazo husika hamna contacts zozote zizlizotolewa au any application guidelines. I am conviced kwamba tangazo husika sio "sparm" therefore kama kuna mwenye more information, plz zidondoshe hapa or to nasdaz@yahoo.co.uk..

Angalia mkuu utalizwa, ni kweli hii kampuni ipo na pamoja na biashara zingine lakini pia ni wasambazaji wakubwa wa nyama za kuku huko US. Kazi ndugu yangu hao Wamarekani wenyewe wanazitafuta hata hizo za kuchuna kuku na bado hawazipati~asikudanganye mtu. Unaweza kuwatembelea kwenye site hii, www.landolakesinc.com
 
Mkuu tafuta gazet la Mwanachi la leo tarehe 20/9/2010 ukurasa wa 16 utaona tangazo lao
 
waungwana, naomba msaad wa taarifa kama kuna mwenye contact information za shirika linaloitwa Land O'Lakes, Inc. (International Dvt). Hawa jamaa wametangaza nafasi za kazi mbalimbali kupitia Mwananchi Sept 18, 2010. Sijui endapo walisahau au ni kosa la uchapishaji; kwenye tangazo husika hamna contacts zozote zizlizotolewa au any application guidelines. I am conviced kwamba tangazo husika sio "sparm" therefore kama kuna mwenye more information, plz zidondoshe hapa or to nasdaz@yahoo.co.uk..

Angalia mkuu utalizwa, ni kweli hii kampuni ipo na pamoja na biashara zingine lakini pia ni wasambazaji wakubwa wa nyama za kuku huko US. Kazi ndugu yangu hao Wamarekani wenyewe wanazitafuta hata hizo za kuchuna kuku na bado hawazipati~asikudanganye mtu. Unaweza kuwatembelea kwenye site hii, www.landolakesinc.com

Thanks mkuu kwa tahadhali, lakini inaelekea kulikuwa na makosa ya kiuchapishaji coz' jamaa wamerudia tena leo tangazo lao with full contacts (the Guardian)!
 
MKUU WAMETOA ANUANI ZAO,NAKUMBUKA ADRESS ZAO ZINASEMA WAPO ARUSHA,LABDA ULIKUWA SPIDI SANA HUKUPERUZI MPAKA MWISHO.Thanx for info mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom