Land for sale in Mbeya City

Redbutterfly

Member
Jan 4, 2012
10
2
Land for sale in Mbeya City

Land: 27 Acres* (with Title)
Price: 300 Million Tanzanian Shillings
2.5 km from Tanzania Zambia Highway.
Area: Ilomba

Call 0756 888 330/0754 277084 for more information...
 
300, 000, 000/= for 27 Acres.? 11, 000, 000/= per acre ??????

Godsave the president
 
Htpati mteja hapa dada yan eka moja sawa sawa na....? ha ha ha ha ha hata mtalii hawezi ku... yaani utafikiri unauza vitaru vya kuwinda wanyama khaka. ngoja nikatafute maeneo ya tukuyutukuyu.
 
Inafaa kujengwa kanisa tumtumikie Bwana.

Kama wewe ni mmataifa, bar na guest house vitakurudishia hela zako ndani ya mwaka mmoja.

Karibu mteja.


Jenga mwenyewe baada ya mwaka mmoja utapata hiyo hela unayoitaka saiz kwa kuuza mali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom