Land Developer

mwanatanu

JF-Expert Member
Jan 22, 2008
851
127
JAmani wana JF nahitaji msaada toka kwenu kuhusu, Je kama nataka kujenga nyumba kadhaa na kuuza natakiwa kuwa mmiliki wa ardhi hiyo?

Je wizara ya ardhi au manispaa zimetenga sehemu yaani maeneo kwa ajili wa ujenzi wa nyumba nyingi?
 
unaweza kununua eneo popote pale...ukalisurvey...ukatengeneza master plan ya housing schemes..pamoja na infrastructure..... then ukaanza mradi wako...ukisubiri manispaa utaingia kwenye gharama kubwa sana.... miradi ya Satellite town za wizara ya ardhi...ina provisions kama hizo lakini it is dam expensive....example ni mradi wa Luguruni township
 
Mkuu nashukuru sana...Kwa maana ingine wizarani na manispaa kama kawaida ni mlolongo.

Nilifikiria kuwa manispaa au ardhi wizarani naweza kupata ardhi kwa bei nafuu kuliko niende kununua kwa watu binafsi.

Swali lingine ni je kuhusu umiliki....let us say nina kiwanja kikubwa na mmiliki ni mimi nikaamua kujenga nyumba kadhaa na kuziuza sasa inakuwaje katika mpango wa kumpatia kila mmojawao umiliki?
 
Sheria inaruhus kutengeneza subtitles na kuwapatia wanunuzi
 
Mkulu Omuka nimeona kenya ma land developer wengi wanapouza nyumba bdo inabidi unawalipa charges sasa sijui kama Tanzania wana sheria gani ya kumlinda mnunuzi.
 
mkuu... wazo lako ni zuri...pale sheria husika ya hausing finance itakapokuwa enforced na kuanza kazi... kuna brokarage agents watakao deal na hizi real estate /housing businesses ambazo zitapata wanunuzi through bank finances and quarantees.... so never worry about it..jipange...though need to be smart kwa sababu ndio inaanza hapa kwetu.... ninahisi itavamiwa sana na wafanya biashara wa aina hii kutoka marekani amabao hii ni biashara ya kawaida na wana experience ya muda mrefu.... tutapigwa bao sana mkuu
 
Asante mkuu MDIZI kwa mchango wako....Ni kweli sasa hivi tushukuru sana Mwalimu kuhusiana na sheria za ardhi....ukiangaliwa majirani wetu Kenya ambapo kuna matatizo sana ya ardhi wamiliki ni wachache na wanamiliki ardhi kubwa sana.

Sasa hivi kuna wasiwasi mkibwa sana hapa Tanzania na dalili zinaonekana huenda kutakuwa na ubadilishaji wa sheria kuhusu umiliki wa ardhi......kama utaona huko DAVOS JK amewaahidi wawekezaji wa kulima commercial farm ardhi kubwa tu na kama sikosei hawa wawekezaji hawaji kwa bi mashartyao
 
Jamani wana JF kuna mtu yeyote mwenye kujua sheria ya umilkaji ardhi kwa ajili ya ujenzi wa makazi ya wengi?
 
Back
Top Bottom