Land Cruiser VX Inauzwa

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
468
Habari za majukumu wanaJF, leo nimeletewa gari na ndugu yangu nikaambiwa inauzwa Tshs. 35m (Maelewano yanakaribishwa)

VX yenyewe ni used ya Japan, ni diesel engine, ina Cc 4553, ya mwaka 1995, automatic na rangi yake ni kama inavyoonekana kwenye picha.

Ukitaka maelezo zaidi au kama unahitaji kuinunua, wasiliana nami kwa namba zifuatazo:

Wazee wa Extreme: 0715 555 512

Wazee wa Jirushe: 0787 111 123

Wazee wa Vodajamaa: 0768 111 123


Zantel Mtelezo: 022 550 5970
 

Attachments

  • VX 001.jpg
    VX 001.jpg
    312.8 KB · Views: 139
  • VX 002.jpg
    VX 002.jpg
    316.6 KB · Views: 141
  • VX 003.jpg
    VX 003.jpg
    326 KB · Views: 122
  • VX 004.jpg
    VX 004.jpg
    424.2 KB · Views: 109
  • VX 005.jpg
    VX 005.jpg
    257.5 KB · Views: 109
  • VX 006.jpg
    VX 006.jpg
    311 KB · Views: 100
  • VX 007.jpg
    VX 007.jpg
    292.7 KB · Views: 93
  • VX 010.jpg
    VX 010.jpg
    176.2 KB · Views: 103
  • VX 011.jpg
    VX 011.jpg
    197 KB · Views: 96
mkuu mie sina uwezo wa hili ndinga, vipi hizo baiskeli nyuma hapo tunaweza kuongea biznes??
 
George hizo baiskeli hazina neno, ukizihitaji we niweke hewani tu utapata kadri utakavyo!
 
hey hiyo sinta iweza niambie gari nyingine nzuri kwa mabint za bei yakawaida kama zinapatika iwe inaweza kupita rafuroud
 
Mkuu hiyo Bei irevise manake ipo juu mno, hiyo ni gari ya 1995, na ni petrol so unaongelea CIF dola elfu sita mpaka nane, hata ukiweka kodi na dumping fees bado haifiki huko, so angalia bei yako
 
Jesca na Sella nimewaelewa, ntafanyia kazi mapendekezo yenu, lakini Sella gari hii ni ya Diesel.
 
Kisusi VX ya CC 4500 ni petrol unless umekosea kwenye cc hapo juu, angalia fresh mzee
 
Should be petrol(4700) diesel ni 4198(4200)...hata seats zake ng'ombe(leather) mtupu lazima iwe petrol...
 
sijui ni ushamba wangu wamagari au,lakini mbona naona ina number za bongo na vibandiko vya insurance afu unasema imetumika japan,au ulimaanisha imetumika japan,ikaja na hapa bongo ikatumika,ndio inauzwa?
anyway mimi nimevutiwa na hayo matrekta nayaona mengi hapo sijui nayo yanauzwa?na bei yake?
 
halafu baba hiyo bei kwa gari kubwa ya auto mh angalia unless haiuzwi kwa shida/biashara mtu kaamua aiweke sokoni hata miaka mitano haijapata teja poa tu, ingetakiwa manual hapo, tena 1995, km laki 2+ , may be utapata but ngmu hapo kaka!!
 
Hiyo bei huuzi mkubwa hata yesu arudi..........mitanzania imekuwa mijanja kweli siku hizi..........................Kuna rafiki yangu mchaga wa rombo (ni muhimu kujua anatokea wapi kwanza) alinipigia simu akanambia kanunua gari inaitwa special niende tukainywe kidogo...........nilivyokwenda nikakuta ni Spacio ya 2001.

See, hata wale jamaa wasiojua magari (I dont mean any offense), wananunua japan moja kwa moja.
 
lakini mbona kama ipo Nkasi??....kama imekula rough road for two years (kwa sababu Nkasi lami nehi!) utaiuza kweli kwa bei hiyo?
 
hey hiyo sinta iweza niambie gari nyingine nzuri kwa mabint za bei yakawaida kama zinapatika iwe inaweza kupita rafuroud
Jesca kuna Terrano Nissan, good order anatumia my wife wangu.sasa nimemvutia kitu ingine.
Sema kama vipi uchape rafu rodi kama kawa
 
See, hata wale jamaa wasiojua magari (I dont mean any offense), wananunua japan moja kwa moja.

Jesca kuna Terrano Nissan, good order anatumia my wife wangu.sasa nimemvutia kitu ingine.
Sema kama vipi uchape rafu rodi kama kaw
a


Mkuu, hapa unajichanganya...mwambie Jesca akanunue pia japan moja kwa moja. Kwa nini unamuuzia ya mkeo? au na yeye ni kati ya wale 'wasiojua magari'?
 
Jamani nilitoa tangazo, sikuomba ushauri au kukosolewa, mbona mnatoka off-key, beat nimewawekea nzuri tu ila naona kama mnaimba kwaya/kaswida vile. Hiyo gari iliagizwa toka japan mwaka huu mwezi wa 1, inatumika mara chache sana kijijini Kibaigwa, haijawahi kupiga masafa, ila maisha yake ni kwenye rough road.

Km mnataka kununua nunueni, na kama haiwafai ipotezeeni!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom