Lala salama Uzini; CHADEMA yaweka mguu chini, Zitto, Dkt. Slaa, Mkiti Mbowe waongeza nguvu

Vijana wapenda mabadiliko ya kweli Unguja na Pemba, hebu tupeni raha hapo jimboni Uzini. Ninao uhakika kwamba vijana mnaweza.

Up-dates zaidi wenzetu mlioko on-the-ground hapo jimboni Uzini.
 
vipi helcopta inatua lini Uzini?


Uzini ni mtaa mmoja Chadema kutumiahelikopta ni matumizi mabaya they can just walk and do to the job KAFU naowanayo ile toka CCM yenu inatua lini ? Chadema ni yao wenyewe ile ya KAFU hadi CCM walipiie solini inakuja kuongeza nguvu ?
 
Nafasi ya ushindi wa chadema jimbo la uzini ni sawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano.

Ok jitahidini labda ataweza kupenya.
ustaadhi Barubaru aka dr.Hamza, ebu nihakikishie kwamba wewe ndie hasa utakaye hesabu kura na kutangaza matokeo. By the way, imekuwaje mmewaacha solemba wale watoto pale Ndanda, huu sio uungwana hata kidogo.
 
Uzini yaweza kuleta tafsiri mpya kwa siasa za visiwani,tusubiri tuone

Mkuu uko sahihi kabisa,kasi,uthubutu na spirit kwa ujumla waliyo nayo viongozi wa cdm juu ya suala zima la kuleta mabadiliko ya kiasiasa nchini kote vinatisha,sikutegemea cdm kuwa gumzo Zanzibar mwaka mmoja tu baada ya uchaguzi mkuu na CUF kupoteza mvuto Zanzibar kwa kasi namna hii.Nawaombea viongozi wote wa cdm afya njema na maisha marefu,Amina.
 
Hakika CDM inatisha.Kuna ndugu yangu anafanya kazi Zanzibar kaniambia CDM sasa ni gumzo si Uzini tu bali Zanzibar yote.Amenihakikishia kama hakutakuwa na wizi CDM itapata ushindi mkubwa.Kaniambia CDM inaungwa mkono sana na Kinamama na vijana.
 
Kwa kuwa vijana wapenda mabadiliko ya kweli kule Unguja na Pemba wameshaamua kuleta mageuzi makubwa kisiasa katika maeneo hayo, nani tena wa kuwazuia?

Unafiki wa CCM kwa miaka yote hiyo tyari wameinja machungu yake huku maesha yakiwa hayaendi sasa nini cha zaidi??


Hakika CDM inatisha.Kuna ndugu yangu anafanya kazi Zanzibar kaniambia CDM sasa ni gumzo si Uzini tu bali Zanzibar yote.Amenihakikishia kama hakutakuwa na wizi CDM itapata ushindi mkubwa.Kaniambia CDM inaungwa mkono sana na Kinamama na vijana.
 
Back
Top Bottom