Lala salama Arumeru

Sihali

Member
Nov 17, 2010
88
12
Mkutano wa mwisho wa chama cha mapinduzi umefunika kwa umati mkubwa wa watu kuja kusikiliza mkapa live. Kesho ni kichapo kwa Chadema.
 
Wamegawa skafu zilizokuwa na sh ngapi? maana kuwaza kwao ni rushwa kwasababu TAKUKURU ni sehemu yao na haiwafanyi lolote.
 
Kweli nimeamini sikio la kufa halisikii dawa. Yaani pamoja na ukweli kwamba Magamba wameshikwa vibaya Arumeru bado wanajidanganya kuwa watashinda uchaguzi mdogo.

Mleta hoja anadai mkutano umejaa watu wakati mie niko hapa uwanjani watu waliokuwepo kabla msafara wa mkapa haujafika walikuwa wakihesabika. Wameongezeka baada ya mzee Mkapa kuwasili na msafara wa magari zaidi ya 50 uliojaa watu kutoka Arusha mjini, Monduli, Moshi na Babati ambao wengi wao siyo wapiga kura Meru.

Kama kweli wamejaa weka picha kuthibitisha na ukidanganya naweka picha inayoonyesha ukweli.
 
Mkutano wa mwisho wa chama cha mapinduzi umefunika kwa umati mkubwa wa watu kuja kusikiliza mkapa live. Kesho ni kichapo kwa Chadema.

Mkuu jianike hadharani toa ushahidi.Sio unavizia vizia humu.Kesho kichapo tuuuuuuu.Peoplesssssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
Mkutano wa mwisho wa chama cha mapinduzi umefunika kwa umati mkubwa wa watu kuja kusikiliza mkapa live. Kesho ni kichapo kwa Chadema.
Kanywe kahawa na wazee wa vibaraghashia kijiweni. Ondoa daku hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom