Lakini kwanini ?

hivi kwanini wabunge wanapenda kutumia neno "KWA" mfano kwa mujibu wa kifungu fulan, kwa niaba ya fulan.
hivi kwanini makabila yote yanaanziwa na "WA" wamasai,wahaya,wachaga,wangon,wapare,wanyakyusa,wazaramo,n.k kwanini?

duuh hahaha! Jaman nw kwl huu utan sasa wa si wingi?

uliona wap kabila lina wing au kiswahili umechelewa

aisee kwl nimekosea? Tofauti ya mmasaai na wamasaai ni nn, mmakonde na wamakonde. Apo kweli haimanish uwing? Bac kwl kiswahili ckifaham? Wewe ni kabila gan? Au wewe ni wapare nini?

mi sijambo, uporoto leo kaamka na malalamiko tu.
Umemfanyaje uporo?

Uporoto01 bana anataka nimletee big G...nikamwambia huku Yaeda hakuna big G kuna Bubblish na jojo....eti anasema big G ni big G tu...khaaa....uporoto01 bana.....

Similar Discussions

Back
Top Bottom