Lakini kwanini ?

<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">ulikuwa unataka kusema......kwa nini Yaeda haiwi karibu na Mpwapwa......</span></font></font>
<br />
<br />
hahahaha! Ahsante kwa kunikumbusha. Lol!
Mzima wewe?
 
Kwanini vigari vidogo vya polisi vinaitwa 'vigofu' huku nyingi zikiwa Hyundai ?

Kwanini mtu anasema 'my wife wangu' huku my tayari inamaanisha wangu ?

Kwanini makambi mengi ya wanajeshi yako Dar na tunaambiwa kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi ?
 
Wanaiita CRDB Bank wakati Co-operative Rural Development Bank,

Wanamuita Vasco Da Gama wakati yeye ni Mkw3re,

Wanaendelea kijuiita Ngunguri wakati sasa hivi ni Nyanya lainiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom