Laki si Pesa

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966


John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.

Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred: "Umekipenda ulichokiona?"
Fred: "Ndiyo".
Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.

Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"

Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo, alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"

Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".




 
The same joke again! Wewe ni wa nne kuirudia hii
katika jukwa hilihili utadhani hakuna joke nyingine...
 
Sasa uvivu wa kupita jukwaa hili utanianza, maana kurudiwarudiwa tuuuuuuu ahaa...~~~
 
Back
Top Bottom