rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,190
- 20,156
Kama kuna jambo limenichefua ni hili la Uingereza kupeleka ofisi zao za ubalozi lakini kwa udhaifu wa serikali yetu wamenyamaza kimya sisi tusingelalamika ila tungehamisha shuguri za ubalozi wetu Ujerumani tuone wao watachukua hatua gani wanatudharau sana na viongozi wetu bado wanajikombakomba kwaoHuu ndio uhuni wa Waingereza. It is very obvious who is hiring who. Kampuni ya Waingereza ndio walipewa deal na Malawi kutafuta mafuta. Sasa wameona wajiingize kwa kuleta wanasheria toka kwao Uingereza! Hawa wazungu are treating Tanzania kwa madharau sana, kazi nyingine za kibalozi wamepeleka Nairobi meaning Tanzania ni ki-office tu sasa.