Lake belongs to Malawi, UK letters reveal

It's very simple really, maji ya ziwa yote yanatokea mito iliyoko Tanganyika. Kwa hivyo tukiya-divert maji ya hiyo mito kuelekea ziwa Rukwa ziwa Nyasa (or whatever they call it) halitakuwepo. Ama tuna share au wanakosa mwana na maji ya moto.
 
Malawi can not take the lake by using PR on international media. These politicians who are doing this are simply wasting poor Malawians hard earned cash to propagate lies on international media hoping that Tanzania will be threatened by this. May be they will win sympathizers, but they will not solve the problem at hand.

They (Malawi Politicians) have to Negotiate based on facts and not emotions or political wind in their country. If they believe that negotiation do not work, international court is there. Trying to pull Downing street to their defense will not deter the Tanzanians from taking what is theirs.
 
Kwa style hii ya Membe na JK hili ziwa lishachukuliwa.
Mtu pekee anayeweza kulirejesha baada ya 2015 kama sio CDM kuchukua nchi ni Lowasa kama CCM watampitisha

Sioni mantiki ya waingereza kutuamulia mipaka yetu,huo ni ukoloni watanzania lazima tuweke historia hata ikibidi kuingia vitani.
 
It's very simple really, maji ya ziwa yote yanatokea mito iliyoko Tanganyika. Kwa hivyo tukiya-divert maji ya hiyo mito kuelekea ziwa Rukwa ziwa Nyasa (or whatever they call it) halitakuwepo. Ama tuna share au wanakosa mwana na maji ya moto.
Je unafikiri ndio solution halisi?
 
This article has nothing new! It is just a continuation of Malawi's illusion on the ownership of this lake. Quoting Downing street memoirs and concluding that the lake belongs to Malawi is a blatantly flawed line of argument. The same Heligoland contract which always Malawians are basing their claims on has been proved on a number of times that it was inconclusive and it left the matters to responsible partners (powers sharing the boarder) to make a final decision - which was never made during colonial era and an attempt to do it after independence has always met resistance from Malawians.

This matter can only be decided by international court, which Malawians are not ready to go to, since they know that the principles of international law cannot grant them the whole lake. Let the Malawians dream on, but truth remains to the fact that they own a part of Lake Nyasa that falls only on their side. The other parts are owned by Tanzania and Mozambique.


I think you are right. I also tend to agree with the author of the article that maybe Tanzania's position on the issue should lean on equity. What will strengthen Tanzania's position is similar cases which might have been decided before.

As it stands now, the border between Tanzania and Malawi is fluid as lakes are known to dry up or even take up more surface area.
 
yani mtu kazaliwa mbamba bay, kakulia ziwani, maisha yake entirely yanategemea uvuvi, leo hii aambiwe kuvua eneo hilo anahitaji kibali toka lilongwe.., wht the fuc..k!

hawa wazungu ni wapuuzi sana.., waliigawa afrika kwa maslahi yao bado sasa hivi wanataka kuleta maamuzi ambayo hayana common sense, na mkumbuke UK haiwezi kuitetea tanzania afterall, previously, we were under germany authority,


This is typical neo-colonialism
Hatutakiwi kutetewa na wangeleza lazima tujitetee wenyewe
 
Tanzania tayari tushaishitaki rasmi Malawi kule UN, hii ni baada ya wao kususia kikao cha tarehe 10-14/9/2012
 
Sioni kwa nini kuhangaika nao, tunao uwezo wa kuwachapa basi tuwasogeze upande wa kwao km 5 toka ufukweni mwa ziwa tuchukue sio tuu eneo sambamba na sisi bali ziwa lote upande wao tujenge nyumba huko na watu waishi pawekwe mkuu wa mkoa. Na gharama ya vita walipe wakishindwa malawi inakuwa jimbo letu. Rais anapeleka mkuu wa mkoa.
 
Guys, do we need to listen to the former colonial masters from europe to decide our fate even to this day!????
washenzi wamalawi wawasikilize sana Britons then waone what they will get outa there Vs what they will lose!, talking just as a mere citizen who can not afford to lose that lake, serikali yetu ikizembea katika hili sisi wananchi tutaamua, come the day!
 
ziwa lipo kwetu linatuhusu sisi na watu wetu kiuchumi ndio tutegemee huo upuuzi toka Downing street kuamua ziwa la nani??ziwa ni pasu pasu kwisha afterall water shed ya ziwa ipo upande wetu!
 
Liwe tuu la kwao kwani rasilimali ngapi tunazo lkn bado hazitusaidii.

hazitusaidii kutokana na uongozi mbaya na ubinafsi acha ziwa liwe nusu kwa nusu probably kinaweza kuja kuinuka kizazi ambacho kipo more sensible kuliko hiki ziwa likasaidia maendeleo yao!
 
Tanzania/mpaka kati kwa kati by recent self def.
Malawi/mpaka ukingoni wa ziwa colonial def,
Anything goes you have to live and learn.
 
Inaweza isiwe solution halisi, but at least this fact should be rammed proper through their throats. They will then come to their senses!
 
Wazungu ipo siku tutawatawala...we waache tu. Tutaanza kumiliki Liverpool na Man u halafu tutawamiki wao.
 
Wazungu washenzi sana hawa siwapendi kama nini. Hawa UK we subiri siku za usoni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom