Laiti viongozi wangenunuliwa kwa mkopo

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
4,199
Wana JF,mnaonaje viongozi wangenunuliwa na kuuzwa kwa mkopo kama kwenye mchezo wa mpira?
viongozi gani unadhani wangeuzwa nje kwa mkopo na wengine kununuliwa kuinua hali ya sasa ya kiuchumi?

wa kuuzwa nje:
1.
2.
3....
4.
5.



wa kununua toka nje
1.
2.
3.
 
wa kuuzwa nje:
1.Mkulo(ameshindwa kuinua uchumi) ila sijui nchi gani ingemnunua
 
Back
Top Bottom