Laiti kipimo cha dna kungefanyika pindi mtoto anazliwa ndoa ngapi zingedumu?

no9

Senior Member
Nov 11, 2010
188
18
Mara nyingi hutokea mtoto anayezaliwa nje ya ndoa huwa ni wa baba tu wa mama tunampataje?MAANA YANGU NI HIVI MTOTO ANAJUMUISHWA KWENYE HUYO FAMILIA JAPO HUTOKEA KUTOKUELEWANA KWA BABA NA MAMA LAKINI SULUU HUPATIKANA WAJUA MAMA ZEYU NI WAPESI WAKUSAMEHE SASA TUGEZE UPANDE WAPILI MFANO MAMA KATIWA MIMBA NA BOSS WAKE HUU NI MFANO TU,BABA ATAJUAJE KWAMBA HUYU SIO MTOTO WAKE?
 
Ukizaa na mume wa mtu....
Ukizaa na sharobaro ambaye hana nia ya kukuoa..........
 
Akizaliwa wa kihindi au kichina ndiyo huwa tunashtuka. Lakini akizaliwa m-bongo huwa haina shida na mume hashtuki kuwa kauziwa mbuzi kwenye gunia. Nafahamu tetezi kibao ktk familia nyingi ambazo miongoni mwa watoto si wa yule wanayemwita baba yao!
 
yani hapo ndipo ninapochoka na ndoa/mapenzi, full longo longo. Kazi kwenu wenye watoto amboa hamjawafanyia DNA maana mnajifanya kuzaa vitoto viwili au 3, angalia vinaweza kuwa vyote mali ya Boss. Babu zetu walikuwa wanazaa watoto hata 10, akipigwa buti wa 2, basi 8 ni wake.
 
Back
Top Bottom