laiti kama vyama vya siasa vingekua vituo vya kuibua vipaji

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,704
39,776
hebu tudiskasini kama vyama vya siasa viwe vituo vya vipaji

nafkiri ccm kingetoa watoto wengi wenye vipaji vya ufisadi na umimi

cdm nao wangetoa watoto wengi wenye vipaji vya ubishi na kutaka kila jambo zuri wafanye wao so wenzao
 
Kwa hiyo ngoma draw hapo.
 
UPDP wangetoa vichaa na wasema hovyo na NRA wangezalisha mujahidina wa kujitoa mhanga weeengi tu, NCCR ingetoa m.a.c.h.o.k.o wa kutosha, CUF ingekuza vipaji vya kigeugeu na ubasha
 
mi natoka chama cha TWATAKHA amabacho kirefu chake ni

T-tanzania
W-wanahitaji
A-aina ya
T-technician
A-ambao
K-kuongea
H-hawaogopi
A-asilan
 
Back
Top Bottom