laiti kama ´avator´zingelikuwa za ukweli...!

Aisee umesahau agano letu nina kesi na wewe utaijibu kesho
Ah hata sijisumbui kujitetea...we nihukumu tu maana mawazo yote yapo kwenye kukosa kuvaa shela!Kwa hali hii hata Kloro namkubali!

On a serious note...hiyo kesi naomba unipe juu juu sasa hivi nijiandae utetezi!
 
We ndie dada yangu nayekutegemea unajua na lazima uwepo maana naona siku hizi kama vile unaingia mitini nadhani hapo umenielewa hadi sasa haya anza kujitetea
 
I know sema dada yako kakamatika mahali basi tabu tupu!Kichwa tu kinagonga kitanda ndo kimegeuka bestfriend!Ila siunajua unaweza kunicheck wakati wowote?Hata kama nimesinzia niamshe!
 
Hivi yule dada yako mwingine unawasiliana nae? Ujue mwisho wa siku unahusika ehee
 
Nimeangalia avatar nyingi na nakubali kuwa siyo pic zao halisi ila huzifanya kama za kweli vile. Lkn sijuwi ukweli uko wapi ktk avatar ya Muhammed Soshi. Na avatar yngu imechukuliwa na pic yangu halisi. Na uwamuzi huo umekuja baada ya kuangalia avatar ya The Fienest na Afrodenze ambazo zimetulia ktk colour ya black and white, hivyo ni kama zilinipa ujasiri fulani wa kunifanya niweke pic yangu halisi. But I need not to meet with any one eti kwa sababu ya avatar.

Daahhh
Sante sana mkuu
kweli sikufahamu hivyo..
Kama hiyo ndio picha yako kweli
Then ur goodlooking mate..
 
mwalimu hii imla ameikosea sana...
icon1.png
laiti kama ´avatos´zingelikuwa za ukweli...!

Una harakishia wapi sasa???
 
Afrodenzi my twin sister umeona hiii
Sema ubavu
wangu wa kwanza
Hahahahahahahah lol

Kama TF asingenishtua
Hii ingenipita mpenzi..

Nway yule
Jamaa ambae nilikueleza
siku ile anadhani mie namdanganya
ansema hakuna cha ujirani lazima tuwe dam dam
hahahah lol
 
wasalaam wana jf...! miongoni mwa vitu vinavyonivutia hapa jf ni ´avators´! nimekuwa nikitumia muda mrefu kuangalia ávator´ ya AFRODENZI...kwa kweli anaonekana kuwa mrembo haswa, ana ´lips´ nzuri, macho ya kuita, shavu lilobonyea.......natamani kukutana naye, na anaonekana ni ´interlect´ kutokana na anavyodadavua mada anuai hapa jamvini....! ni hayo tu....!

Jamani jamani
wewe mmmhhhh
Ungujua napenda mwanaume
Ambae anaenda kuchukua anachotaka
hatakama atapingwa mawe afe au asipewe

Nway
My dear
I don't know how to thank you..
Ok ... I'm gona take you out..
send me ur address..
IT'S A DATE..
hahahahsh haha lol
 
Zote zinavutia tuu mkuu..vipi ya First Lady, Preta, Mguu wa MR maana hakuna kichwa, Yule anaetukonyeza Maria1980 nadhan ndo mwaka aliozaliwa, Miss J,Nazjaz- huyu anamacho yale ambayo hayana kile kitu cheusi katikati, anaevaa ushungi...DA, Michelle mama Obama japo yuko lockup sijui alikosea nini huku jamvini..:ban:na wengine wote wako poa tuu tuwape nao pongezi.
wasalaam wana jf...! miongoni mwa vitu vinavyonivutia hapa jf ni ´avators´! nimekuwa nikitumia muda mrefu kuangalia ávator´ ya AFRODENZI...kwa kweli anaonekana kuwa mrembo haswa, ana ´lips´ nzuri, macho ya kuita, shavu lilobonyea.......natamani kukutana naye, na anaonekana ni ´interlect´ kutokana na anavyodadavua mada anuai hapa jamvini....! ni hayo tu....!
 
Sure na mimi ndo bwana harusi!
Mimi naupenda mwandiko wake jamani,akiandika comment humu dah!
Ana nikumbusha ilivokuwa rahisi kum sahihishia daftari lake la mwandiko darasa la pili!

So nice naoa mwanafunzi wangu

Daahh
sante mwalimu
Ntapeleka maji kwako leo ndoo mbili
Naomba uandike VEMA chini ya hiyo tiki..

In a series note
thanx a lot ..
It means a lot to me..
 
Zote zinavutia tuu mkuu..vipi ya First Lady, Preta, Mguu wa MR maana hakuna kichwa, Yule anaetukonyeza Maria1980 nadhan ndo mwaka aliozaliwa, Miss J,Nazjaz- huyu anamacho yale ambayo hayana kile kitu cheusi katikati, anaevaa ushungi...DA, Michelle mama Obama japo yuko lockup sijui alikosea nini huku jamvini..:ban:na wengine wote wako poa tuu tuwape nao pongezi.

Kabisa mkuu
Umenena vema.

Naomba kifaranga..
hahah lol
 
Nimeangalia avatar nyingi na nakubali kuwa siyo pic zao halisi ila huzifanya kama za kweli vile. Lkn sijuwi ukweli uko wapi ktk avatar ya Muhammed Soshi. Na avatar yngu imechukuliwa na pic yangu halisi. Na uwamuzi huo umekuja baada ya kuangalia avatar ya The Fienest na Afrodenze ambazo zimetulia ktk colour ya black and white, hivyo ni kama zilinipa ujasiri fulani wa kunifanya niweke pic yangu halisi. But I need not to meet with any one eti kwa sababu ya avatar.

Unaweza kukosea jina lamungu na kuniita soshi lakini huwezi kuipotea sura yangu pindi utakaponiona coz I am real na ninareflect avatar yangu na wapo humu JF wanaonijua napenda mimi kuwa mimi sipendi kujificha kwenye shamba la karanga.
 
Yap
Shossi in da houseeeee
hahahah lol

Vipi mkuu
Cha tangu kipindi kile
cha msimu uleee
Ndo nini kupotea hivyolakini..
 
Yap
Shossi in da houseeeee
hahahah lol

Vipi mkuu
Cha tangu kipindi kile
cha msimu uleee
Ndo nini kupotea hivyolakini..

Mambo mengi ndugu yangu si unajua tuna familia lazima tuwajibike? ila namsuhukuru Mungu nahema hilo ndio kubwa....vipi wewe hujambo?
 
Kwa kweli
kila sunrise na kila sunset
ni vema kumshukuru atupaye uhai
nway hope every thing is going perfectly fine now
Na princess anaendelea vizuri..

Nway mie niko fresh sasa
Lakini kama wikimbili sasa dunia ilinichukia
Mmhhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom