Bakulutu JF-Expert Member Nov 30, 2011 2,541 1,753 Dec 4, 2011 #1 Ni kabila lipi nchini ambalo lafudhi au matamshi yake,ukizungumza tuu hadharani unajulikana sahiyo hiyo?
Ni kabila lipi nchini ambalo lafudhi au matamshi yake,ukizungumza tuu hadharani unajulikana sahiyo hiyo?
Roulette JF-Expert Member Dec 15, 2010 5,579 5,374 Dec 4, 2011 #2 Wamasai wana pronounce Z kama S : KumeSa, MwenSake, kuweka waSi etc.