Lady jaydee vs clouds part 2

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,098
27,068
Ni wazi kuwa , LadyJay Dee na Clouds bifu lao linazidi ku mature kadri siku zinavyo kwenda, hebu tazama maandishi haya ya Jide. Yasome mwenyewe halafu uniambie kama umeona nilicho kiona.

..................................................Mwaka huu narudi tena kuadhimisha miaka 13 ya

Lady JayDee, With a New Team.

Nawaletea fans wangu Album yangu ya 6
Inaitwa "Nothing But The Truth"

Ina Jumla ya nyimbo 10, na zote ni ukweli wa maisha ya kila siku yanayoendelea humu duniani tunamoishi.
Single ya kwanza mmeisikia, na ninashukuru mmeipokea kwa mikono miwili

JOTO HASIRA
Na mimi nasema Amen
Tanzania niwape nini tena zaidi ya Shukrani?
Mmekuwa mkinibeba siku zote.

Nawapa dodosa tu ya yanayokuja, tarehe?, siku? muda? na mahala? nitawafahamisha punde kila kitu kikikaa kwenye mstari.
Mbali na Lady JayDee kutakuwa na wasanii wengine wakubwa watakaoshiriki katika show hiyo kubwa ya kihistoria.

( Endeleeni kutegea sikio vituo mbalimbali vya radio kama

East Africa Radio, Magic FM, Times Fm
Na television zingine kama EATV, Channel ten na Star TV.
Ili kufahamu nini kinakuja kwenye show hii )

Familia ya pili yani LA FAMILLE 2
Itaundwa kabla ya show hii ya miaka 13 ya JayDee
Na wote watapata fursa ya kuhudhuria show zote Dar na Mikoani, pindi wapatapo nafasi.

Tayari wamekwisha patikana members 6 bado 14 kutimiza idadi ya 20.
Famille inatakiwa kuwa na watu 20 tu.
Do u wana be one of them??? Kazi kwako

Kutakuwa na dinner ya pamoja na La Famille 2
Wiki mbili kabla ya show kubwa kufanyika

Na mwisho
Nashukuru na radio zooote za mikoa yote ya Tanzania mlioipokea Joto Hasira, kuwataja mmoja mmoja naweza shindwa ila habari nimezipata na ninasema hiviiii
Mapenzi tele kwenu nyote

MSISITIZO WANGU UPO KWENYE SENTENSI ZILIZO PIGIWA MSTARI..

With Lots of Love n Respect to you all.

Komando JIDE
a.k.a
ANACONDA
 
Huu ujinga hatutaki, ka ni taarabu zenye mafumbo peleka fb. Humu tuna mambo mengi ya kuchangia ili muktakabali wa vizazi vijazo usizidi kuibiwa.
 
hebu dadavu na mimi mdau wa siasa nijue kinachotokea huko kwa muziki.... maana hilo tangazo nimelisoma lote lakini nimebaki nang'ara sharubu
 
Huu ujinga hatutaki, ka ni taarabu zenye mafumbo peleka fb. Humu tuna mambo mengi ya kuchangia ili muktakabali wa vizazi vijazo usizidi kuibiwa.

Jina lako linasadifu hoja yako. Nakushauri ubadilishe jina kaka, coz jina la mtu ( hata kama la utani ) ni nafsi ya pili ya mtu, and remember majina ya watu,vitu, hali na mahali huwa yana masikio ya kiroho na hutii maana za majina yao..Post hiyo hapo juu ina ujinga gani? are u frustrated? Unataka tujadili kuhusu URANIUM ndio tuonekane tupo serious! Acha hizo mentality za kimihemko kaka
 
Komaaa komando wa ukweli wewe nizaidi ya CLOUDS MEDIA wala usirudi nyuma na nyie mnajifanya hamjaelewa hii thread mtakuwa mmetumwa na RUGE wa clouds otherwise great thinker ni wafatiliaji wa mambo wameelewa.
 
Ni wazi kuwa , LadyJay Dee na Clouds bifu lao linazidi ku mature kadri siku zinavyo kwenda, hebu tazama maandishi haya ya Jide. Yasome mwenyewe halafu uniambie kama umeona nilicho kiona.

..................................................Mwaka huu narudi tena kuadhimisha miaka 13 ya

Lady JayDee, With a New Team.

Nawaletea fans wangu Album yangu ya 6
Inaitwa "Nothing But The Truth"

Ina Jumla ya nyimbo 10, na zote ni ukweli wa maisha ya kila siku yanayoendelea humu duniani tunamoishi.
Single ya kwanza mmeisikia, na ninashukuru mmeipokea kwa mikono miwili

JOTO HASIRA
Na mimi nasema Amen
Tanzania niwape nini tena zaidi ya Shukrani?
Mmekuwa mkinibeba siku zote.

Nawapa dodosa tu ya yanayokuja, tarehe?, siku? muda? na mahala? nitawafahamisha punde kila kitu kikikaa kwenye mstari.
Mbali na Lady JayDee kutakuwa na wasanii wengine wakubwa watakaoshiriki katika show hiyo kubwa ya kihistoria.

( Endeleeni kutegea sikio vituo mbalimbali vya radio kama

East Africa Radio, Magic FM, Times Fm
Na television zingine kama EATV, Channel ten na Star TV.
Ili kufahamu nini kinakuja kwenye show hii )

Familia ya pili yani LA FAMILLE 2
Itaundwa kabla ya show hii ya miaka 13 ya JayDee
Na wote watapata fursa ya kuhudhuria show zote Dar na Mikoani, pindi wapatapo nafasi.

Tayari wamekwisha patikana members 6 bado 14 kutimiza idadi ya 20.
Famille inatakiwa kuwa na watu 20 tu.
Do u wana be one of them??? Kazi kwako

Kutakuwa na dinner ya pamoja na La Famille 2
Wiki mbili kabla ya show kubwa kufanyika

Na mwisho
Nashukuru na radio zooote za mikoa yote ya Tanzania mlioipokea Joto Hasira, kuwataja mmoja mmoja naweza shindwa ila habari nimezipata na ninasema hiviiii
Mapenzi tele kwenu nyote

MSISITIZO WANGU UPO KWENYE SENTENSI ZILIZO PIGIWA MSTARI..

With Lots of Love n Respect to you all.

Komando JIDE
a.k.a
ANACONDA

Mi si mpenzi kabisa wa bongo fleva ila kidogo Jide niliwahi kumsikiliza kibahati mbaya nilipokuwa Bar. Najiuliza, huyu Jide ana ukomando gani? Au hilo bifu lake na Clouds Radio ni la nini? Na je mumewe aliachana na Clouds kwa ajili ya ugomvi wa mkewe na hao watu? Kwako Jide, you are a beautiful lady....achana na watu wa Clouds utapoteza mwelekeo wako, wale watu wanajulikana kwa ujinga, fanya vitu vyako.
 
Nimeipenda iyo "Nothin' but the Truth" Kama Tam watameza na Kama chungu watatema.Kaz kwel kwel.
 
'Mama somefood,Wallet,Komando Jide,Lady Jay Dee,Judith Wambura,Shemeji = MTU WA WATU vs RADIO YA WATU,NOTHING BT THE TRUTH & OL'WAYZ TRUTH HURTS,SALUTE SHEM'
 
mtasikia clouds nao wamedondosha show siku anayopanga kuzindua hiyo album, na hao wasanii aliowaalika watatkiwa kuperform kwenye show ya clouds hapo ndipo mtaona ukigeu geu wa hawa wasanii watakavyomtosa jide...
Yangu macho nitaona mwisho wa hii kitu...
 
jide nakukubali saaaaaaaaana kimuziki uko juuuuuuuu nakuaminia komaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom