Lady Jaydee: Clouds FM ni wanafiki, wanataka wahongwe ili wapige nyimbo za wasanii

hili nalo neno. Na kingine ni pale mumewe alipoamua kuenda times fm badala ya kurudi clouds na pia baada ya jaydee kupeleka kipindi chake eatv.ila ninachomlaumu huyu dada,prof j,q chillah na wasanii wengine wakubwa wanaobaniwa ni kwamba wakati mh.sugu anapambana na tabia hii chafu,hawa walinyamaza kimya hata kukemea tu walishindwa!,hawajachelewa,wajiunge na harakati za sugu!. Q chillah pia aliwahi kulalamika na kuwachana live watangazaji wa xxl wa radio hiyohiyo tena wakiwa wanamuhoji. Chunguza umesikia lini mara ya mwisho nyimbo za 20% kwenye radio hiyo? Tena zote zina beat na maadili mazuri tu! Kuna nyimbo hapo clouds zinapigwa kutwa mara tano na ukizichunguza hazina radha wala maadili!

ant-virus with no apology
 
Alikuwa Wapi wkt kina Sugu, Inspektah wanalalamika? Leo kimegeuka u want us to sympathize with u...? U reap what u sow mommy!

Babu aka Tripple 5 aka Alianza kuitwa babu kabla ya yule wa Tiba ya maajabu Samunge Loliondo,,Alibaniwa sana Inspector Haroun kuna wimbo alishirikishwa na Mr.Paul Buzi ikifika sehemu ya Inspector kama kawa inasikika Beat tu,chezeiya clouds weieweeee!!
 
Wamtafute Sugu watengeneze sera ya muziki for their future lakini wakiendeleza ubishi,kiburi na dharau bila kutambua nguvu ya umoja wao watavuna walichopanda kama mtu mzima JD anavyolia sasa!
 
Ushauri wa bure kwa Jide,jitahidi kuongeza idadi ya marafiki na kupunguza idadi ya maadui,kuwa na subira.
Mtoa riziki ni maulana.Hakuna haja ya kuleta mada kwenye public,una mambo mengi ya kufanya,ukikalia malumbano utapoteza uwezo wako wa ubunifu.Just be more creative,watakutafuta wherever you are.
 
Haiwezi kuporomoka hadi redio nyingine zitakaposikika mikoani kama clouds!Hapa nilipo ninalazimika kuisikiliza na miziki yao wanayoipenda ikiniboa nazima kwanza!Vijiredio vyetu(local)vinaiga mabaya yoote ya clouds mf kuongelea puani na miziki ile ile ya wasanii walewale hadi kero!Radio nyingine mko wapi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums


CLOUDS NAO WANA COPY NA KU PASTE KUTOKA RADIO ZA KENYA....


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nikiangalia na kusoma stament ya lady jaydee na gundua hili jambo alikaa nalo siku nyingi na alikuwa ana subiri time ya kusema sasa sijui alisema akiwa amefurahi sana au amechukia sana!


Kwa kweli japo mimi huwa si sikilizi hii radio lakini wimbo wa jyde ni mzuri na unastahili kupewa nafasi ukilinganisha na nyimbo nyingine, haya mambo ya ma dj kutaka kuongwa hili wapige nyimbo sidhani kama kuna mapya na wala haya kuanza leo yapo toka kitambo.


Swala la lady jaydee kusema wimbo wake haupigwi na ukipigwa unakatwa na hasa verse ya prof jay ina leta hisia kwamba kuna tatizo( kama ni kweli maana sina ushahidi kwenye hili)
Na swala la nyimbo za wasanii fulan kutopigwa na kituo hicho tajwa nilisikia muda mrefu na pia nilisikia hata q-chillah alisha lalamika lakini sijui kama watu waliamini aliyoyasema na ya jaydee ya tahaminika au hayato aminika?
Mwanzo nilidhani kwa kuwa chillah hakuwa na heat songs lakini nikasikia kuna wasanii nyimbo zao hazipigwi kabisa hasa mapacha japo ni zuri(so sad)



Kipindi Mh Sugu ana lalamikia hicho kituo tajwa wengi walidhani ni wivu wake lakini wasanii wenzake walikaa kimya wakamuacha apigane peke yako and hiyo ilikuwa mbaya maana sugu alikuwa ana pigania haki za wasanii!

Swali langu ndugu lady jaydee alikuwa wapi kindi kile?
Kwa nini walimuacha mwenzao akapigana peke yake?

Pengine ni Mshauri jide kuwa lazima wasanii wawe na umoja ili kuwin this battle jay dee huwezi kupambana peke yako ni wakati sasa mkaunganisha nguvu pamoja mkapigania haki zenu hata pesa mnzo pewa kwenye matasha yanayo andaliwa na kituo tajwa je zinakwenda sambamba na nguvu mlizo wekeza kwenye mziki wenu?


Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, kituo tajwa bila shaka kina mchango katika tasnia ya mziki tusisahau hilo lakini lazima wakubali kuwa fair kuwapa wasanii kinacho stahili si kuwa nyonya!


All the best lady jaydee lakini kumbuka umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
 
JD haeleweki!hao ndio wamekupatisha chart na kwaya zako!unatakiwa uwe na subira ujipange jinsi kuwakilisha malalamiko yako!umeonana na uongozi tena kaka yako Joseph?amekataa kukusikiliza au ndio vidume vinakugombania?Ruge na G?usitukane mamba...:vituo viko vingi sana si lazima clouds tu!pia uwe na shukrani upunguze kuropoka umeshakuwa mtu mzima miaka 45 sasa si mtoto wewe!unaelekea kuwa bibi!
 
Sikuona haja ya kumkashifu na pengine wewe unamkashifu kuna walioshindwa kusema alichosema wamefurahi kuona amesema!
Hii radio tajwa inaweza ikawa imemtoa jyde na inamchango sana kwenye mziki lakini tujiulize jyde ana wasingizia katika hili nadhani mashabiki na wasanii ndio majudge maana katika kumtoa sijui kama hao walikuwa hawanufaiki!
Pengine tujaribu kuwa fair kwa wote kituo tajwa na ladyjaydee na ukiaona mtu ana sema kaumia pengine ni sikunyingi!
JD haeleweki!hao ndio wamekupatisha chart na kwaya zako!unatakiwa uwe na subira ujipange jinsi kuwakilisha malalamiko yako!umeonana na uongozi tena kaka yako Joseph?amekataa kukusikiliza au ndio vidume vinakugombania?Ruge na G?usitukane mamba...:vituo viko vingi sana si lazima clouds tu!pia uwe na shukrani upunguze kuropoka umeshakuwa mtu mzima miaka 45 sasa si mtoto wewe!unaelekea kuwa bibi!
 
Hao Clouds ndiyo waliomtoa Jaydee, ina maana leo kasahau? kweli shukrani ya mapunda mateke!

Au washachokana na Ruge,mwenyewe JD alikuwa hapo kitambo,mume wake nae alikuwa hapo,isije ikawa yeye JD ndie ana ugwadu na Radio ya Watu,walipokuwa wanaenjoy vya Clouds hatukusikia hivyo vitwita,leo ana bifu lake binafsi anaanza kuutangazia ulimwengu,aku hayatuhusu kila mtu atabeba furushi lake.
 
swala hapa si kumtoa Jide, hatukatai kama walimpa chart, walimtoa, sawa.. sasa kama walimtoa leo wana haki ya kumdidimiza? tujaribu kufungua akili zetu... hapa swala ni weledi wa redio tajwa, hii redfio imekuwa ikifanya vitu tofauti kabisa na kinyume kabisa na weledi...

badilikeni jamani, enzi hizi si zile tulizotoka.. sasahvi watanzania hawadanganyiki au kuhadaika kihivyo..
 
Clouds bila mpunga nyimbo haipigwi pale. Nilishangaa nyimbo moja ya sheta mwaka jana, inatambulishwa ijumaa kwenye XXL Jmosi imeingia top 20. Pale kunapremium promotion Tshs 1,000,000 tax exclusive, ukilipa hiyo unapewa na recept kabisa nyimbo yako itapigwa kila siku na show zote utaalikwa. Wasanii wanalitambua hilo, sema wakiona majina yao yamekua wanataka nyimbo zao zipigwe Bure clouds. Mm siwalaumu clouds nawalaumu wasanii wenyewe kwa uboya wao.
Sijawahi sikia nyimbo ya 20% pale.
 
Awe Kinega tu! SUGU Moto Chini.

Sent from my BlackBerryAndroid using JamiiForums
 
JD haeleweki!hao ndio wamekupatisha chart na kwaya zako!unatakiwa uwe na subira ujipange jinsi kuwakilisha malalamiko yako!umeonana na uongozi tena kaka yako Joseph?amekataa kukusikiliza au ndio vidume vinakugombania?Ruge na G?usitukane mamba...:vituo viko vingi sana si lazima clouds tu!pia uwe na shukrani upunguze kuropoka umeshakuwa mtu mzima miaka 45 sasa si mtoto wewe!unaelekea kuwa bibi!

miaka 45 du! Si angeacha tu music akakomaa na biashara zake akaendelea itunza heshima aliyoipata.
 
nakupongeza dada kwa kumwaga ukweli, lakini mmeo alishindwa kusema ukweli akasema anataka ameacha mambo ya utangazaji kumbe kaenda kutangaza........, clouds hovyo vipindi vyao wanatajana majina tu kama nyimbo za Congo @#%$^*&^
 
Back
Top Bottom