Lady Jay Dee ajibu hoja ya Wakurya!

Nashukuru JD kuwa muwazi kueleza ukweli na ni haki yake kusikilizwa. Mkoa wa mara kuna makabila mengi na siyo koo. Wasukuma kuwa na mila inayofanana na wanyamwezi siyo kuwa ni kabila moja au wazaramo kuwa na mila inayofanana na wadengereko siyo kuwa ni kabila moja.
 
Asante ndugu Selengias nadhani kwa jibu hilo linatosha kusafisha miyoyo ya watu kwa majibu ya huyu dada infact majibu yake yako sahihi wala si hasira hata kama ungekuwa wewe. asante
 
WAKURYA NA WASIZAKI HAWAZUNGUMZI LUGHA MOJA WALA MILA HAZIFANANI....KAMA AMBAVYO SITE MOJA YA KU COPY PASTE NA WATU WAKE WALIVYOONGELEA

Napenda nirekebishe baadhi ya kauli ambazo zimezungumzwa na baadhi ya wachangia maoni wa website moja hivi, (jina si muhimu kutaja).
Ila najua watasoma kwani kila mara wamekuwa wakiingia na ku copy paste ishu za humu kuziweka kwenye ubao wao na kuanza kuzijadili.

Kwenye site hiyo ambayo wengi wao hujiita wasomi na kusema sana wengine, kuna waliosema kuwa mkoa wa Mara kuna makabila matatu tu, Wakurya, Wajita na Wajaluo na zilizobaki zingine zote ni koo tu.
Na kuwa katika Category ya wakurya ndio kuna wazanaki ambao ni pamoja na JK Nyerere na wasizaki ambao ni kina sisi na kuwa wote tunaongea lugha moja. By the way mama yangu ni mu Ikizu sijui nae watamuweka category gani maskini ya Mungu??
Lugha ambayo na hakika kuwa matamshi yao ni sawa sawa ni Ikizu na Sizaki.

SALAAM KWA BABA:
Wa Ikizu na Wasizaki wanasema Bhaa
Wa Kurya wanasema Tata

SALAAM KWA MAMA:
Wa Ikuzu na Wasizaki wanasema Iya
Wa Kurya wanasema Mayi

SALAAM KWA BIBI:
Wa Ikizu na Wasizaki wanasema Koko
Wa Kurya wanasema Ghoko

Swala la maneno kukaribiana linaweza kuwepo kwenye lugha zozote za kibantu kwa mfano
Nyoka ni kiswahili, kikwetu ni Inzoka lakini kwa lugha ya kizulu pia ni Izinyoka
Chumvi inaitwa " munyu/ Umunyu" na makabila mengi tu....

Nakupenda kwa kichaga NAKUKUNDA, kirundi na kinyarwanda NDAGUKUNDA, na hizi ni nchi tatu tofauti...
au basi labda afrika nzima hakuna makabila zote ni koo??? maana maneno mengi tu ya lugha za afrika yanafanana, sio lazima kuwa msomi sana kutambua ulimwengu unaendaje, Dunia yenyewe shule tosha.

Wambura ni jina langu na sio surname yangu kama ambavyo wengi wanadhani, kuna makabila mengine Wambura ni mwanaume kama Wakurya ila kwa sisi Wambura wengi ni wanawake.
Baba yangu anaitwa Lameck Isambwa Mbibo (RIP)

Niliandika tu kuwa mimi kabila langu ni Msizaki na sio Mkurya kama ambavyo watu wengi wanadhani.. Ila naona imechukuliwa kana kwamba nakana ukabila

Chanzo: http://www.ladyjaydee.blogspot.com/
 
Mliotokea Mara na mnaojua historia ya hayo makabila plz tupeni ufafanuzi wa kina, lengo ni kuelimishana, JD kubali kukosolewa wewe sio malaika, usipende kugombana na watu ambao huwajui maadam hawakutukani yale ya msingi na yakukunufaisha ya chukue yale unayoona hayakufani yaache hapahapa,
 
lakini angeachwa aishi maisha yake ingependeza zaidi

Kwani yeye asisemwe amekuwa nani?Huko ni kutaka kujipandisha tu....Ni vizuri kutuelewesha lakini si kuwa mkali.Tena angekuwa muungwana zaidi na kutoa majibu ndani ya ile thread...Km hataki kujadiliwa afunge hata hiyo blog yake...
 
WAKURYA NA WASIZAKI HAWAZUNGUMZI LUGHA MOJA WALA MILA HAZIFANANI....KAMA AMBAVYO SITE MOJA YA KU COPY PASTE NA WATU WAKE WALIVYOONGELEA

Napenda nirekebishe baadhi ya kauli ambazo zimezungumzwa na baadhi ya wachangia maoni wa website moja hivi, (jina si muhimu kutaja).
Ila najua watasoma kwani kila mara wamekuwa wakiingia na ku copy paste ishu za humu kuziweka kwenye ubao wao na kuanza kuzijadili.

Kwenye site hiyo ambayo wengi wao hujiita wasomi na kusema sana wengine, kuna waliosema kuwa mkoa wa Mara kuna makabila matatu tu, Wakurya, Wajita na Wajaluo na zilizobaki zingine zote ni koo tu.
Na kuwa katika Category ya wakurya ndio kuna wazanaki ambao ni pamoja na JK Nyerere na wasizaki ambao ni kina sisi na kuwa wote tunaongea lugha moja. By the way mama yangu ni mu Ikizu sijui nae watamuweka category gani maskini ya Mungu??
Lugha ambayo na hakika kuwa matamshi yao ni sawa sawa ni Ikizu na Sizaki.

SALAAM KWA BABA:
Wa Ikizu na Wasizaki wanasema Bhaa
Wa Kurya wanasema Tata

SALAAM KWA MAMA:
Wa Ikuzu na Wasizaki wanasema Iya
Wa Kurya wanasema Mayi

SALAAM KWA BIBI:
Wa Ikizu na Wasizaki wanasema Koko
Wa Kurya wanasema Ghoko

Swala la maneno kukaribiana linaweza kuwepo kwenye lugha zozote za kibantu kwa mfano
Nyoka ni kiswahili, kikwetu ni Inzoka lakini kwa lugha ya kizulu pia ni Izinyoka
Chumvi inaitwa " munyu/ Umunyu" na makabila mengi tu....

Nakupenda kwa kichaga NAKUKUNDA, kirundi na kinyarwanda NDAGUKUNDA, na hizi ni nchi tatu tofauti...
au basi labda afrika nzima hakuna makabila zote ni koo??? maana maneno mengi tu ya lugha za afrika yanafanana, sio lazima kuwa msomi sana kutambua ulimwengu unaendaje, Dunia yenyewe shule tosha.

Wambura ni jina langu na sio surname yangu kama ambavyo wengi wanadhani, kuna makabila mengine Wambura ni mwanaume kama Wakurya ila kwa sisi Wambura wengi ni wanawake.
Baba yangu anaitwa Lameck Isambwa Mbibo (RIP)

Niliandika tu kuwa mimi kabila langu ni Msizaki na sio Mkurya kama ambavyo watu wengi wanadhani.. Ila naona imechukuliwa kana kwamba nakana ukabila.
Source; Jide Blog
Keywords; wasomi, wakurya, waikizu, wasizaki,salam
MODS MSAADA PLS WA KUIDILITI HII THREAD NAONA KUNA NYINGINE INAENDELEA.
 
Uniite mzanaki, mkurya, mjita, mjaluo, mkwaya, mkerewe I do not change. Jamani hii issue mbona broken record. Hivi kutoka mkoa wa Mara ni laana?

Let her be....let us move on....
 
no, but according to what they did, ....heheeee hawa ni wasomali tu
 
lakini angeachwa aishi maisha yake ingependeza zaidi
Yaani bro hapa una point...sometime humu JF kuna watu wanapenda kutuchefua roho..wanaleta ishu za kujadili watu tuuuu,tena kwenye anga zao binafsi kabisa...kuna ishu kibao za kujadili kuliko kujadili maisha binafsi ya watu,sijuwi tunaonekanaje onekanaje vile...!! kama mtu huna cha kuposti si soma posti zote hizo zilizokuwamo humu lazima mtu atafutetafute watu hukoooooo,afanye ndo ishu...agh...!!
progress.gif
 
Who the hell is Lady JD? Lady Jermain Dupri of Soso Record?

Nilifikiri huyu ni Mwanaume. Au na sisi tuna wetu Tanzania? Samahani kwa kuuliza maana wengine tunaishi huku shamba Sikonge hatuelewi nini kinaendelea Mujini.
 
kwani wale wanaouwana Mara ni wakurya tu? mbona kama kwenye magazeti naonaga sijui Waanchali wanapigana michale huko....ila hawa wasizaki sijui!!!!
 
Napenda nirekebishe baadhi ya kauli ambazo zimezungumzwa na baadhi ya wachangia maoni wa website moja hivi, (jina si muhimu kutaja).
Ila najua watasoma kwani kila mara wamekuwa wakiingia na ku copy paste ishu za humu kuziweka kwenye ubao wao na kuanza kuzijadili.

Kwenye site hiyo ambayo wengi wao hujiita wasomi na kusema sana wengine, kuna waliosema kuwa mkoa wa Mara kuna makabila matatu tu, Wakurya, Wajita na Wajaluo na zilizobaki zingine zote ni koo tu.
Na kuwa katika Category ya wakurya ndio kuna wazanaki ambao ni pamoja na JK Nyerere na wasizaki ambao ni kina sisi na kuwa wote tunaongea lugha moja. By the way mama yangu ni mu Ikizu sijui nae watamuweka category gani maskini ya Mungu??
Lugha ambayo na hakika kuwa matamshi yao ni sawa sawa ni Ikizu na Sizaki.

SALAAM KWA BABA:
Wa Ikizu na Wasizaki wanasema Bhaa
Wa Kurya wanasema Tata

SALAAM KWA MAMA:
Wa Ikuzu na Wasizaki wanasema Iya
Wa Kurya wanasema Mayi

SALAAM KWA BIBI:
Wa Ikizu na Wasizaki wanasema Koko
Wa Kurya wanasema Ghoko

Swala la maneno kukaribiana linaweza kuwepo kwenye lugha zozote za kibantu kwa mfano
Nyoka ni kiswahili, kikwetu ni Inzoka lakini kwa lugha ya kizulu pia ni Izinyoka
Chumvi inaitwa " munyu/ Umunyu" na makabila mengi tu....

Nakupenda kwa kichaga NAKUKUNDA, kirundi na kinyarwanda NDAGUKUNDA, na hizi ni nchi tatu tofauti...
au basi labda afrika nzima hakuna makabila zote ni koo??? maana maneno mengi tu ya lugha za afrika yanafanana, sio lazima kuwa msomi sana kutambua ulimwengu unaendaje, Dunia yenyewe shule tosha.

Wambura ni jina langu na sio surname yangu kama ambavyo wengi wanadhani, kuna makabila mengine Wambura ni mwanaume kama Wakurya ila kwa sisi Wambura wengi ni wanawake.
Baba yangu anaitwa Lameck Isambwa Mbibo (RIP)

Niliandika tu kuwa mimi kabila langu ni Msizaki na sio Mkurya kama ambavyo watu wengi wanadhani.. Ila naona imechukuliwa kana kwamba nakana ukabila.

http://ladyjaydee.blogspot.com/
 
Naona huyu dada haelewi vizuri anachokiongea kwa hiyo atasema Wasweta,Wangoreme Wakwaya na wengineo yote hayo ni makabila na sio koo?
 
JF mngefanya la maana mkiacha kumjadili huyu mpuuzi. Mnampaisha kwa lipi hasa?

Mpe binadamu mwenzio heshima anayostahili!
Kama ni mpuuzi je wale wanaomjadili si wapuuzi pia..?!
Ni mtazamo tu I dont wanna to offend anybody.
 
Back
Top Bottom