Lady Gaga Na Aya za Kishetani

Thanx God for da information! Mi nilikuwa siamini ila nilikuwa najaribu kurelate verses na video naona ka viko tofauti! Dah! kumbe mambo menyewe ndo haya.... tuweni makini jamani tucjetekwa bila kujijua!

wimbo ume hit sana kumbe umejaa ushetani
 
Acheni utoto nyie!lady gaga ni mbunifu anatafuta hela!your mind is so corrupted mnawaza uchawi na ushetani tu.tukiamua kufikiria kishetani au kichawi basi kila kitu/mtu kitakuwa ni shetani.
 
Spinning .. .. yaleyale ya ''...Obama ni black Muslim aliyelizaliwa Kenya''.
 
acheni utoto nyie!lady gaga ni mbunifu anatafuta hela!your mind is so corrupted mnawaza uchawi na ushetani tu.tukiamua kufikiria kishetani au kichawi basi kila kitu/mtu kitakuwa ni shetani.

wake up my dear there is more than kutafuta hela in that song.
 
c uzushi. Google search ujionee. Its scarry.

kwani walioandika kwenye google ni miungu?ni watu kama mimi na wewe wanaojaribu kushawishi kuwa huyu dada ni freemasons.you are a great thinker umiza kichwa sio unakopi na kupaste.
 
KWA JINA LA YESU KRISTO NA KWA DAMU YA YESU KRISTO NIMEKATA MITANDAO YAO KATIKA MAISHA NA TAIFA LANGU, Ufu 12:11. AMEN
 
Papparazzi!
Lady gaga yuko serious na kazi yake nyie endeleeni kupiga majungu tu.
 
she is serious ofcoz, thats why she sold her soul to the devil for money and fame.

ya kaizari mpe kaizari na ya mungu mpe mungu!
Most artists(musicians) are fighting for money and fame,why is lady gaga a special case?why not shakira,R.KELLY,50 CENT,L.WYNE do you mean the guys are 'clean' na wanampendeza mungu?
 
It is not only for lady gaga, but you must also either repent or perish, you can't play a neutral role, you can't have it both ways, you are either fully for christ or fully for satan.

This may be a bitter pill for you to swallow, but it is the only one there is for your eternal spiritual healing!!!!!1!!1!!!!!!
 
ya kaizari mpe kaizari na ya mungu mpe mungu!
Most artists(musicians) are fighting for money and fame,why is lady gaga a special case?why not shakira,r.kelly,50 cent,l.wyne do you mean the guys are 'clean' na wanampendeza mungu?

wapo wengine pia kama jay z, kanye west, rihanna, beyonce,lil wayne to name the few. Tuwe ma ,n
 
Back
Top Bottom