Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,799
Hapo pana tatizo Eiyer.......
Kabla ya kufunga ndoa inabidi watarajiwa wajadiliane kuhusu fedha na mambo mengine ya familia.
Ila usije sema ni wanawake wa sasa.
Yupo mkuu wangu wa kazi mmoja now ni mkuu wa mkoa alinihadithia kisa cha mkewe wa kwanza, walioana mwakawa 3 wakiwa mlimani, si kijana ni over 60 now. waliajiriwa wote. lakini hakuwahi kuona wala kuujua mshahara wa mkewe, mke hakusaidia chochote nyumbani wala kwao na hakujua alipeleka wapi pesa zake anasema yeye hakujali kwasababu alikuwa na uwezo wa kuhudumia familia.
Ishu hapa ni mtu binafsi anavyoona na alivyompenda mumewe na kujua wajibu wake kama mama. They are not wife material.