Ladies what do you keep put in your handbags (purse )?????

nimenotice wadada wawili watatu hapo juu wamesema wanawekaga bible kwenye pochi...i like that!! sijui ka mnaweka ili mue mnaisoma njiani au ni tu ile imani kua bible ina kuprotect ukiwa njiani??!!!
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1: samahani kwa kucheka bt hii imeniacha hoi..dah yani vibaka wa bongo sa wakati wanakata pochi yako kwa chini we ulikua wapi :biggrin1: dah!!

Yani mtotowamjini acha tu wale viumbe nawalaan mpaka kesho,maana wala sikujua kinachoendelea na sikujua ni wakati gani na nikiwa nafanya nn,

Ninachokumbuka nikiwa pale mwenge niliongea na simu then nikarudisha ndani ya pochi,bahati nzuri nilikuwa napesa mkonon hata nilipopanda basi wala sikufungua pochi mpaka nimefika hm sina habari kilichonistua mda mrefu umepita kwa mida ile sijasikia hata kuingia msg kwenye cm jambo ambalo sio la kawaida si ndio niangalie simu kwenye pochi nikakuta ilishakatwa na cm zote hakuna lol!
 
Last edited by a moderator:
nimenotice wadada wawili watatu hapo juu wamesema wanawekaga bible kwenye pochi...i like that!! sijui ka mnaweka ili mue mnaisoma njiani au ni tu ile imani kua bible ina kuprotect ukiwa njiani??!!!
mtotowamjini kila mtu ana utaratibu wake namna anavoitumia,binafsi nikifika job lzm nisome japo mistari 2 na kusali kidogo ndio niwashe pc na kazi zianze hata sijui kwann ila ndio nshazoea maana asubuhi nakurupukaga kitandani na kukimbilia stand kuwahi folen!
 
Last edited by a moderator:
choco itayeyuka bana.....kumbe na wewe unaweka kyupi kama mimi....vizuri....
Preta choco ukiwa edicted nazo lazim uwe nazo 2, 3 kwenye poch. Km sigara na lighter.
Kyupi mhm ati, m'ke usafi unamhusu sana
 
ndo maana huwezi jua saa ngapi yupo safarin au around.
anaingia gheto akitoka kapiga viwalo vingine kabisa.
 
Back
Top Bottom