Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

Dah kwa ukweli hii namba tatu imewahi kunipata, yaani i have a fear in my heart for mother in laws...any mother in law huwa namuogopa sana kwani yaliyonipata si madogo....but life goes on...no one dies for the other
 
Mimi sina wifi. Ila ushauri wangu na kwa nilivyoona kwa ndugu na rafiki zangu, keep as much distance as possible from your wifi!

Mimi ni wifi kwa mke wa kakangu, kakangu ajatulia fulani, basi wifi mwanzo alikuwa anatusimulia mambo ya kaka. SI tukaweka kikao kumsema kaka etu. We! Wifi si katuuzia kesi kuwa hajatutuma! From that day on, nimejifunza wifi ni mtu wa kukaa nae mbali na kama ni story basi za juu juu kama unaongea na jirani vile.

Kuhusu kumpenda, nadhani ni vizuri kupenda ndugu wote wa mumeo ila you can still love her without too much closeness. Mfano usimzoee mpaka aanze na kuingia room kwako. Lazima muheshimiane!

Ila hawezi kuwa na nafasi kubwa kama mama mkwe.
 
Pole sana mkuu
 
Hahahaha
 
Dah kwa ukweli hii namba tatu imewahi kunipata, yaani i have a fear in my heart for mother in laws...any mother in law huwa namuogopa sana kwani yaliyonipata si madogo....but life goes on...no one dies for the other

Pihu thank you for sharing dear... I believe at the end of the day U survived it all...
 
Mimi sina wifi. Ila ushauri wangu na kwa nilivyoona kwa ndugu na rafiki zangu, keep as much distance as possible from your wifi!

Mimi ni wifi kwa mke wa kakangu, kakangu ajatulia fulani, basi wifi mwanzo alikuwa anatusimulia mambo ya kaka. SI tukaweka kikao kumsema kaka etu. We! Wifi si katuuzia kesi kuwa hajatutuma! From that day on, nimejifunza wifi ni mtu wa kukaa nae mbali na kama ni story basi za juu juu kama unaongea na jirani vile.

Kuhusu kumpenda, nadhani ni vizuri kupenda ndugu wote wa mumeo ila you can still love her without too much closeness. Mfano usimzoee mpaka aanze na kuingia room kwako. Lazima muheshimiane!

Ila hawezi kuwa na nafasi kubwa kama mama mkwe.

LOL...LOL...LOL.. Yaani wewe mdada wewe.....
 
Mama mkwe wa kule ametulia au ndo kila siku itakua ugomvi???!

Kule huna mama mkwe dear.... Full kujiachia.... wewe si nilikwambia kitu kimekamilika... hadi Ma'mkwe alikua in consideration..lol
 
hii imenichekesha sana, kwa hiyo siku hizi wadada wanaomba kuolewa kusiko na mama mkwe? God forbid!
 
Back
Top Bottom