Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

Asha D nimekumbuka siku kaka yangu anaoa bibi yangu alitoa machozi sana sikuelewa kwanini lakini nikajakugundua simply because my bro anafanana sana na my late dad basi bibi kila akimuangalia kaka yangu akawa anamkumbuka mtoto wake siku alipokuja kututembelea kaka yangu ikifika saa mbili bibi hajamuona nyumbani mimi na shemeji yangu tutaulizwa maswali 100 kadhaa.

TF I really hope from the thread umepata an insight ya kumuelewa .....
 
Mimi nina bahati sina mawifi nina mama mkwe tu maana nasikia mawifi nao ni issue sometimes. Mama mkwe wangu nampenda na so far hatujawahi kugombana. Labda kwa kuwa yuko mbali na si wa kijijini kwa hiyo ni muelewa. Pili huwa sijajaribu hata siku moja kuwa kiwingu kati yake na mwanae kwani mume wangu ni last born. Akiniomba kitu basi niko tayari kukopa kama sina ela nimpatie. Sometimes huwa nawaza am I caring too much than the way am treating my own mother? Well ukipenda boga lazima upende na ua lake! Na kwa kumtreat mama mkwe wangu vizuri nadhani kunamfanya mume wangu anipende sana na kutonificha chochote kuhusu familia yao hata wanachoongea na mama yake on my absence. Hata mashemeji zangu wananipenda pia.Hakuna atakaye kupenda ukimchukia mzazi wake!

NK I am proud of you... Ndio mimi ni mwanamke lakini nadiriki kusema wanawake wachache wana busara hio.... Kukitokea matatizo kati ya wewe na hubby (just in case anakuzingua) please notify me... I have wonderful brothers...
 
Mwenzenu sina baba mkwe wala mama mkwe natamani na mie wangekuwepo niringe ringe kidogo ,najua mama mkwe ni rafiki wa mkwewe bwana haya mastory mengine ni kutafuta tu namna ya kuwekeza upendo kwa mama mkwe.
Mungu awaweke mahali pema peponi Amen
 
Kuna mama mkwe wengine visirani unaonyesha upendo,
wa hali ya juu unamuheshimu, unajitahidi kumwonyesha
wewe ndio unastahili kuwa mke wa kijana wake
lakini anakuona kama sijui nini
kisa hakuwa anataka uolewe na kijana wake
anafanya visa mpaka unatamani kuondoka
je mama mkwe wa namna hii unatakiwa kufanya nini aweze
kukutambua kama mkwe na kukupenda?

Bibi yangu alikua mama mkwe mzuri sana kwa wake wa wajomba zangu....nadhani watakua wanammiss maana ilikua hata wakwe zake wakionewa yeye ndo anawarekebisha wanae!!RIP bibi!!

Nwy ukitaka kua na ndoa isiyo na misukosuko isiyo ya lazima patana na wakwe zako...jishushe ikibidi achana na kushindana na mama mtu maana hata siku moja huwezi kumnyang‘anya hiyo taito.....ila mke anaweza pata mwingine.Wakina mama nao wapunguze ukorofi kidogo....mi naomba Mungu nije kua mama mkwe mzuri....
 
Mwenzenu sina baba mkwe wala mama mkwe natamani na mie wangekuwepo niringe ringe kidogo ,najua mama mkwe ni rafiki wa mkwewe bwana haya mastory mengine ni kutafuta tu namna ya kuwekeza upendo kwa mama mkwe.
Mungu awaweke mahali pema peponi Amen

Poleni dear may they rest in peace.... Enways FL1 una bahati huna hizo mshike mshie ....
 
Kuna mama mkwe wengine visirani unaonyesha upendo,
wa hali ya juu unamuheshimu, unajitahidi kumwonyesha
wewe ndio unastahili kuwa mke wa kijana wake
lakini anakuona kama sijui nini
kisa hakuwa anataka uolewe na kijana wake
anafanya visa mpaka unatamani kuondoka
je mama mkwe wa namna hii unatakiwa kufanya nini aweze
kukutambua kama mkwe na kukupenda?

Nakujibu dear kadri ya uwezo wangu... Kitu kikubwa unachotakiwa uelewe tokana na sababu nilizo taja katika thread; hata ufanye nini you will never be worthy of his son (unaelewa wanawake roho zentu sometime zilivyo nzito juu ya kumkubali mtu mwingine wa karibu in a man ambae ni muhimu kwa maisha yako- iwe mtoto, mume, baba au kaka); Its nature huwezi zuia... Fanya kwamba anastahili heshima toka kwako lakini usifanye ukitegemea ata kuchekea ni wachache hujirudi....
 
Bibi yangu alikua mama mkwe mzuri sana kwa wake wa wajomba zangu....nadhani watakua wanammiss maana ilikua hata wakwe zake wakionewa yeye ndo anawarekebisha wanae!!RIP bibi!! Nwy ukitaka kua na ndoa isiyo na misukosuko isiyo ya lazima patana na wakwe zako...jishushe ikibidi achana na kushindana na mama mtu maana hata siku moja huwezi kumnyang‘anya hiyo taito.....ila mke anaweza pata mwingine.Wakina mama nao wapunguze ukorofi kidogo....mi naomba Mungu nije kua mama mkwe mzuri....

Nimechoka kukuambia kua we mkareee.....
 
ah ah ah umenichekesha sana kuna story moja tulipewa kanisani"Kuna dada mmoja aliolewa na akawa anaishi na mama mkwe wake,yani walikuwa hawaelewani hata kidogo,kila siku mume anaamua kesi kati ya mkewe na mama yake,kiukweli jamaa huyu alichoka na kesi so nyumba nzima ikawa ni mchuno tu,Mke nae akaona mama mkwe anaharibu ndoa yake,basi akapitiwa na shetani hao wakaenda kwa mganga,"Mganga nakaa na mama mkwe wangu kwakweli nimemchoka,anaharibu ndoa yangu sina amani nae kabisa naomba umuuwe.,"Mganga akaampa dawa,"hii weka kwenye chakula kila siku na baada ya miezi 3 mama mkwe wako atakufa lkn ili kuonyesha kwamba ww Uhuusiki na kifo hicho anza kumuheshimu mama mkwe wako,msikilize na kuomba msamaha pale unapokosea,mfulie nguo na kumwandalia chakula sawa eeeh?,"sawa"Mdada huyo akaenda nyumbani akabadilika,akawa msikivu kwa mume na mama mkwe wake,kila siku anamwandalia chakula na kumwekea ile dawa,maisha kwa ujumla yakabadilika akawa anapendana sana na mkwewe,mwisho wa siku akaona dawa inakaribia kuisha that means mama mkwe atakufa na wakati wanapendana sana,akaenda kwa mganga"mganga naomba usimuue tena mama mkwe wangu maana tunapendana sana yani plz nakuomba fanya kila njia plz"mganga akamjibu usijali ile dawa niliyokupa ni ya vitamin tu hawezi kufa nenda kwa amani".
Hadithi hii inatufundisha tuwe tunaona makosa yetu kwanza na mapungufu yetu na tujaribu kujirekebisha sisi kwanza,ndio wenzetu nao waone mafanikio yetu na kuiga kupitia kwetu,Thx for useful post Asha D.

hahahahaha!
Nimeipenda.
 
The Following 6 Users Say Thank You to Pearl For This Useful Post:

Aisha Adam (Today), Asha D (Today), Husninyo (Today), Maty (Today), The Finest (Today), toghocho (Today)

this is vere vere mamito
 
Shukran sana mpenzi
Naona maskills ninayopata hapa yatanisaidia sana nikiingia kwenye ndoa, nitayafanyia kazi mda ukiwadia.
 
Back
Top Bottom